Star Tv wameingia vitani dhidi ya awamu ya sita? Habari ya SSH kuzindua uingiaji maji Stiglers ilirushwa ya mwisho, Alloyce Nyanda atumika

Nyanda alikunyandua akakuacha nini!
 
Taarifa kama haina faida kwao kwa nn iwe ya kwanza ikizingatia kituo hicho ni mtu binafisi
Hilo liko wazi, star tv wana hasira Diaro kuukosa umwenyekiti ccm hivyo wako na negative attitude na awamu hii,,
ITV wao japo wana jaribu kuficha makucha, nao wako hostile,, hawa sababu kubwa ni tangu mwanzo huwa wako opposition camp,
 
Wa kulaumiwa hapo ni CDM!!
 
Tushike lipi , la nyanda kunywa pombe na Sabaya , kualika Wapinzani studio , au Stigla ya Samia kutoonyeshwa StarTv ?
 
Ni Baada ya Dialo Kupigwa chini kwenye uwenyekiti na Rais Samia 🤪🤪
 
Bora wasingerusha
 
Kile ni kituo cha kibiashara sio TBC
 
Vijana mnashida Sana Aisee

Sasa kama taarifa ilikuwa inafanyiwa uhariri mpaka muda wa news ulitaka news isiwepo kusubiri hiyo habari?

Mnapenda Sana kuwatengenezea watu maugomvi

Ile ni TV binafsi ina sheria zake, au unadhan Ile ni TBC?
Hata hivyo lazima kuwepo na tofauti ya urushaji ili mtu akichelewa tbc au itv aangalie na kwingine
 
Usinipangie, kama kituo kinapingana na maslahi ya taifa, tunakianika

Acheni kulazimisha mnachokitaka. Kwahiyo kila kituo lazima kitangaze habari yenu ya kwanza? Siku wakitumia huo umeme wenu bure muwakatie.
 
Una wapangia chakufanya? Kutokuanza na hiyo habari ndio kumaanisha wana chuki na utawala? Au hujui kama mmliki wa star tv ni ccm wa kulia? Leta hoja zingine ila ulizotoa hapa ni chai isiyokua na sukari, umeandika maneno tuu bila ushahidi wa ulicho kiandika
 
Hilo liko wazi, star tv wana hasira Diaro kuukosa umwenyekiti ccm hivyo wako na negative attitude na awamu hii,,
ITV wao japo wana jaribu kuficha makucha, nao wako hostile,, hawa sababu kubwa ni tangu mwanzo huwa wako opposition camp,
Kosa lao ni kuirusha hiyo habari mwishoni?
 
Una personal interest zako katika huu Uzi uliouleta,
Kuna harufu ya chuki,
Haya malalamiko yako yapo katika personal level,
Hayana tija yote kwa Taifa,
Mimi naona ungemtafuta Alex Nyanda myamalize.
 
Una personal interest zako katika huu Uzi uliouleta,
Kuna harufu ya chuki,
Haya malalamiko yako yapo katika personal level,
Hayana tija yote kwa Taifa,
Mimi naona ungemtafuta Alex Nyanda myamalize.
Wewe ungeweza ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…