Starehe gani ujawai kufanya ila unatamani kuifanya lakini unaigopa?

Starehe gani ujawai kufanya ila unatamani kuifanya lakini unaigopa?

Tundusami

Senior Member
Joined
Feb 7, 2026
Posts
116
Reaction score
270
Tuambiane starehe gani ujawai kuifanyaga ila unatamanigi kuifanya ila unaogopa.
 
Kulala na wanawake tofauti tofauti wenye matako makubwa, nasikiaga tu wanapigiwa chapuo ila cjawah kutest kupata hicho wanachokimbiliwa!
 
Huu uzi utawafanya watu waonekane Vichaa, mleta mada unawachezesha watu ujinga ujinga wako
 
Kunywa bia tu ndo natamani ila sijawahi, nilitaka nitest siku moja kuna jamaa akanizuia akanambia hicho ni kilema yeye pia anahangaikia achomoke huko lakini wapi kashindwa!.
 
Back
Top Bottom