Tundusami Senior Member Joined Feb 7, 2026 Posts 116 Reaction score 270 Feb 8, 2026 #1 Tuambiane starehe gani ujawai kuifanyaga ila unatamanigi kuifanya ila unaogopa.
Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,297 Reaction score 16,529 Feb 8, 2026 #2 We umefanya zote? Pdidy unamjua
A man from Island JF-Expert Member Joined Aug 13, 2020 Posts 606 Reaction score 1,392 Feb 8, 2026 #3 Kulala na wanawake tofauti tofauti wenye matako makubwa, nasikiaga tu wanapigiwa chapuo ila cjawah kutest kupata hicho wanachokimbiliwa!
Kulala na wanawake tofauti tofauti wenye matako makubwa, nasikiaga tu wanapigiwa chapuo ila cjawah kutest kupata hicho wanachokimbiliwa!
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 9,376 Reaction score 25,663 Feb 8, 2026 #4 Kulala na mdada huku tuko kwenye maji mengi naipiga huku nazamisha kichwa alafu naibuka tena chap yaani kama nyambizi nazama natoa
Kulala na mdada huku tuko kwenye maji mengi naipiga huku nazamisha kichwa alafu naibuka tena chap yaani kama nyambizi nazama natoa
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Feb 8, 2026 #5 Huu uzi utawafanya watu waonekane Vichaa, mleta mada unawachezesha watu ujinga ujinga wako
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,617 Reaction score 17,620 Feb 8, 2026 #6 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Kulala na mdada huku tuko kwenye maji mengi naipiga huku nazamisha kichwa alafu naibuka tena chap yaani kama nyambizi nazama natoa Click to expand... He😁
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Kulala na mdada huku tuko kwenye maji mengi naipiga huku nazamisha kichwa alafu naibuka tena chap yaani kama nyambizi nazama natoa Click to expand... He😁
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,582 Reaction score 123,152 Feb 8, 2026 #7 Kula ugali mkubwa halafu pembeni yake kuwe na kaugali kadogo ambako ndio kanatumika kama mboga.
MD SPECIAL JF-Expert Member Joined Jul 4, 2025 Posts 1,161 Reaction score 2,812 Feb 8, 2026 #8 Kunywa bia tu ndo natamani ila sijawahi, nilitaka nitest siku moja kuna jamaa akanizuia akanambia hicho ni kilema yeye pia anahangaikia achomoke huko lakini wapi kashindwa!.
Kunywa bia tu ndo natamani ila sijawahi, nilitaka nitest siku moja kuna jamaa akanizuia akanambia hicho ni kilema yeye pia anahangaikia achomoke huko lakini wapi kashindwa!.