Starehe ya dakika 5 isikufanye ujutie maisha yako yote

Kheri ufe na boda chaap 🤣
Kuliko kuishi na dawa kila siku unajua siku zako za kuishi zinahesabika..
Mkuu sijui utoe mfano kwa mfumo upi bila kuhusisha umezaji wa dawa wa kila siku!

Kutoa mfano kwa wagonjwa wanaomeza dawa kila siku si sahihi sana.

Magonjwa ya kumeza dawa kila siku ni mengi sana kuliko unavyodhania!

Kama jambo la kufanya kila siku huwa ni kero, je kula kila siku unakokupenda wewe kuna tofauti gani na kumeza dawa kila siku?

Kunaniliu kila siku unakokupenda wewe kuna tofauti gani na kumeza dawa kila siku?

Matendo hayo ya kujirudia rudia yaweza kuwa kero kwetu ama kutuletea furaha, lakini wanadamu na mapungufu yetu tutafanya nini sasa?

Twashauriwa binadamu kugeuza fikra zetu hasa tunapokuwa tumeonya, maonyo yetu hayakuzingatiwa na sasa watu hao walioyafanya wamepata madhara.

Maana yangu ni kwamba tugeuke na kuwaombea hao badala ya kuwanyooshea vidole.
 
Mkuu tunahamasisha kujikinga na ukimwi , kwa sababu naona kama serikalini wote humo ni kama wamesha ukwaa , na zile hamasa za kipindi kile cha nyuma hazipo tena.

Hivi ni kwanini watu wakizungumzisha ukimwi kwa lengo la kujinga ni kama jamii inapinga flani hivi?????????šŸ¤”
 
Mkuu sijui utoe mfano kwa mfumo upi bila kuhusisha umezaji wa dawa wa kila siku!

Kutoa mfano kwa wagonjwa wanaomeza dawa kila siku si sahihi sana.

Magonjwa ya kumeza dawa kila siku ni mengi sana kuliko unavyodhania!

Kama jambo la kufanya kila siku huwa ni kero, je kula kila siku unakokupenda wewe kuna tofauti gani na kumeza dawa kila siku?

Kunaniliu kila siku unakokupenda wewe kuna tofauti gani na kumeza dawa kila siku?

Matendo hayo ya kujirudia rudia yaweza kuwa kero kwetu ama kutuletea furaha, lakini wanadamu na mapungufu yetu tutafanya nini sasa?

Twashauriwa binadamu kugeuza fikra zetu hasa tunapokuwa tumeonya, maonyo yetu hayakuzingatiwa na sasa watu hao walioyafanya wamepata madhara.

Maana yangu ni kwamba tugeuke na kuwaombea hao badala ya kuwanyooshea vidole.
Yah magonjwa ni mengi.. ila hapa theme kuu ilikuwa Ukimwi mkuu.. ukimwi wa kunyanduana bila kinga,, achana na wale wanaozaliwa nao, au kaupata kwenye vitu vingine.

Kunaniliu huwezi kunaniliu kila siku.. kuna siku 4 za period usisahau 😁😁
 
Ukimwi ni malango ya magonjwa yote , ukiwa na ukimwi unaweza pata kansa , sukari , pressure, malaria , shida ya Figo, ini , fangasi ya ngozi sugu, na nk sasa sijajua watu kwanini wanalinganisha magonjwa hayo na mlango wa magonjwa hayo.
 
Baada ya ejaculation ndio akili zitakurudia na kuanza kujutia.

Vijana kabla ya kufanya ngono chekini afya zenu kama ziko sawa au tumieni protective device.
Naongezea:
ukipima na mtu na wote mko negative, bado kuna uwezekano wa kuambukizwa, virusi mpaka vionekane hua ni siku 14 kwenda mbele hivo kuepusha matatizo yote ni heri utumie kinga
 
Back
Top Bottom