Starehe ya dakika 5 isikufanye ujutie maisha yako yote

Starehe ya dakika 5 isikufanye ujutie maisha yako yote

Ni kumuomba Mungu tu atuepushe maradhi,mana unaweza kuwa ndani ya ndoa na gonjwa likakupata kupitia mwenza wako..umeona inshu ya mwanawake wa kenya na yule jamaa mrusi.

Hakunaga ujanja japo risk factors ni za kuavoid at all costs
Kweli kabisa
 
Ukipiga PEP hata mara moja, hutokaa upige peku milele!😁

BTW: Hivi kuna kijana anayejielewa na hajachanja chanjo ya homa ya ini?
 
Back
Top Bottom