Starehe ya dakika 5 isikufanye ujutie maisha yako yote

Starehe ya dakika 5 isikufanye ujutie maisha yako yote

nipo tunduru sasa kama wiki... sasa usiku wa kuamkia jana kama saa 6 nikawa na hamu sana nikaingia kitaani nikaona demu mmoja ni mnene na Dira lake nikamueleza akadai nimpe 30000.... nikajivuta tukafika 20000 nikampeleka nilipofikia demu kaingia ananiambia nizime taa nikamwambia hapana akadai kama vipi anatoka hawezi kufanya kwenye mwanga sasa nikawa nafosi aisee kufunua dira kababuka halafu ana mikirizi balaaa nikamfungulia mlango ili atoke na kweli akatoka ila akaniambia naomba unisindikize tafadhali nikaona kweli huu ni usiku hebu nimsindikize...tumefika mpaka alipopanga sijui ilikuwaje tukajikuta kitandani duh demu ana kitambi halafu mapaja yana manundu nikapiga hivyohivyo aisee nilipokojoa nikajilaumu mno ndipo nikajua kwanini akikataa mwanga japo kwake hatukuzima taa
 
kuna ballistic missile za kutisha,
genetal warts
hepatitis B
chronic UTI
fungus sugu
HIV/ AIDs
Lakini yote kwa yot funga kazi ni HIV katika magonjwa yote uliyoyataja , HIV ni source ya magonjwa mengi yaani ikikupata inaenda moja kwa moja kushambulia kinga ya mwili wako , hepatiitis nayo inashambulia mfumo wa ini , kiufupi tuwe makini , HOMA YA INI INA CHANJO , HIV HAINA CHANJO KAMWE .
 
Back
Top Bottom