G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Acha kudanganya watu wewe... Sadaka ya kuteketeza mnyama Kwa njia ya kumuomba MUNGU inajibu haraka kuliko udhaniavyo, rejea sadaka ya Gidion baada ya MUNGU kumtokea kumpa kazi ya kuwakomboa wana Israel mikononi mwa wa Midian, rejea sadaka ya NUHU baada ya kutoka kwenye safina, tena hiyo inasema baada ya sadaka kuteketea ule Moshi ulipokua ukipanda juu, MUNGU akasikia vizuri ile harufu ya ule moshi wa sadaka, akashuka kumpa maagizo NUHU.Baaada ya sadaka ya Yesu hakuna sadaka ya kuchinjwa wala kuteketezwa inayofanya kazi mbele za Mungu.
Labda uwe unonyeshwa na miungu sio Jehovah