Starehe yako kubwa ni ipi?

Starehe yako kubwa ni ipi?

Baaada ya sadaka ya Yesu hakuna sadaka ya kuchinjwa wala kuteketezwa inayofanya kazi mbele za Mungu.

Labda uwe unonyeshwa na miungu sio Jehovah
Acha kudanganya watu wewe... Sadaka ya kuteketeza mnyama Kwa njia ya kumuomba MUNGU inajibu haraka kuliko udhaniavyo, rejea sadaka ya Gidion baada ya MUNGU kumtokea kumpa kazi ya kuwakomboa wana Israel mikononi mwa wa Midian, rejea sadaka ya NUHU baada ya kutoka kwenye safina, tena hiyo inasema baada ya sadaka kuteketea ule Moshi ulipokua ukipanda juu, MUNGU akasikia vizuri ile harufu ya ule moshi wa sadaka, akashuka kumpa maagizo NUHU.
 
Zamani ilikuwa pombe, weed na kusaga gomba daadeqi.

Miaka mingi kweli yaani huniambii kitu.

Ila sasa hivi furaha ninayoipata kwa kuspend all of my spare time with my kids, na side hustles siwezi kufananisha na kukesha nikilewa bar.
 
Salam Wakuu,

Starehe zangu kubwa ni Kula, kulala, kufanikisha ndoto zangu, family ikifurahi.
and last , kula watoto flan hiv walaini wenye shade

Hakuna raha kama kula mademu wenye ngongingo or Chura
Mi kahawa tuu huku stendi na stori stori tuu siku inaisha naenda zangu home kulala kesho yake tena hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam Wakuu,

Starehe zangu kubwa ni Kula, kulala, kufanikisha ndoto zangu, family ikifurahi.
and last , kula watoto flan hiv walaini wenye shade

Hakuna raha kama kula mademu wenye ngongingo or Chura
Football matter Na Traveling kwa Sana!
 
Starehe kubwa ni swala, hustling, kufanya mazoezi, kuogelea, kuji update, ku check series on spare time
 
Starehe yangu Ni kufanya tafiti za Nguvu ya Mungu ambapo nina weka Madhabu yangu ndani na kufanya Sadaka ya kutezwa kama akina Abraham na huwa naonyeshwa kila ninachotaka kukiona kwenye macho kama vidoe vile.. hivyo hujisikia raha sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu unateketeza ng'ombe au kondoo?
 
Zamani ilikuwa pombe, weed na kusaga gomba daadeqi.

Miaka mingi kweli yaani huniambii kitu.

Ila sasa hivi furaha ninayoipata kwa kuspend all of my spare time with my kids, na side hustles siwezi kufananisha na kukesha nikilewa bar.

Vizur kam unakumbuka watoto
 
Kuendesha gari (yoyote comfortable)
Kula msosi mzuri
Kuangalia movie (am an indoor person)
Kinanda (hii hunambii kitu kabisaaaa!)
Kufanya matusi[emoji16] (occasionally)
 
Aseee napenda sana Kuchora
Napenda kukaa shamba
Kutembelea maeneo mapya hasa vijiji
Mwisho napenda Kuchunga !!!
 
Back
Top Bottom