Starehe yako kubwa ni ipi?

Starehe yako kubwa ni ipi?

1.kuendesha gari
2. Kulala
3. Kusikiliza [emoji445]
 
Salam Wakuu,

Starehe zangu kubwa ni Kula, kulala, kufanikisha ndoto zangu, family ikifurahi.
and last , kula watoto flan hiv walaini wenye shade

Hakuna raha kama kula mademu wenye ngongingo or Chura
kutafuna vibinti vile virembo vinavyopenda kuandika sms za xaxa, ko, nk vinavyojifanya vinaenda na wakati
 
Kuendesha gari

Kusafiri( nataman hata maisha yangu yooote niwe nasafr tu, yan nisafir hata nmalize hii dunia nzma)

Kuskiza mziki😍

Kula kula( spend wali,na nyama ya ng'ombe)

Kulala 🤣🤣🤣🤣( nkatili vyooote lkn c kulala jaman, napenda kulala 🤣🤣🤣🤣🤣)
 
Kuendesha gari

Kusafiri( nataman hata maisha yangu yooote niwe nasafr tu, yan nisafir hata nmalize hii dunia nzma)

Kuskiza mziki[emoji7]

Kula kula( spend wali,na nyama ya ng'ombe)

Kulala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]( nkatili vyooote lkn c kulala jaman, napenda kulala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787])

Nice pretty
 
Kusafiri nafurahi mnoooo, especially sehemu ambayo sijawahi fika hata kuwe mbwinde
dah tumefanana kwenye hili hakuna mkoa ambao sijaenda ndani ya TZ and this year kuanzia mwezi wa 10 naanza rasmi kutembea nje ya TZ
 
Napenda kucheza instrument kama guitar na piano. Dah hapo nikichanganya na sauti yangu, dah papuchi ikapumzike kwa Amani[emoji23][emoji23]
 
Kuendesha gari

Kusafiri( nataman hata maisha yangu yooote niwe nasafr tu, yan nisafir hata nmalize hii dunia nzma)

Kuskiza mziki[emoji7]

Kula kula( spend wali,na nyama ya ng'ombe)

Kulala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]( nkatili vyooote lkn c kulala jaman, napenda kulala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787])
Screenshot_20220223-043149.jpg
 
Back
Top Bottom