Starehe yako ni ipi?

Mi napenda kupiga miti aisee...yaani hata kila siku uniambie niwe natupia mbili haina shida.Tena kama ni tofauti tofauti...dah
 
1.Weed and Hennessy...
Bila bangi(Dry) au pombe ya watu weusi(Henny) maisha yangu hayaendi vyema.

2.Sex...
Hata mama aliwahi kunitamkia "wewe utamrithi baba yako kila kitu"...

Shangazi na binamu zangu walinambia nitakua mtu wa wanawake kama mzee wangu.Napenda mno Ngono na sichoki kuifanya.

3.Old School Hip-hop Music and Hip-hop culture.
Napenda Hip-hop na ipo kwenye damu I got the Hip-hop talk,Hip-hop walk.

Naipenda hii tamaduni.

4.Movies and Video games.

5.Kusoma vitabu.
 
Mpira chama langu likfungwa naumwa

Muzik haswa wa hip hip ngumu kama kina Chindo man na watengwa halafu miki mkubwa

Sex sex sex

Na pia starehe ya asilimilia 90 ya wanaume ila hawaisemi...Punyeto.! ..acha kanisa hii kitu
 
Binafsi aseeh napenda kusikiliza mziki mzito wenye ugumu fulani..

Kwa bongo. Watu kama mbwa, JCB late nelly, salu ti, mbishi, one, fid.

Africa sarkodie, ice, eno, Ricky,emtee,MI, mecasa, cassiper, nk

Juu, brother ali, rogue, wu, nas, nk.
 
Hi chit chat

Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa

Wewe je?
Stupid post ever

Ukishajua starehe zetu ili iweje?

Nyie ndio wambea wenyewe
 
Binafsi aseeh napenda kusikiliza mziki mzito wenye ugumu fulani..

Kwa bongo. Watu kama mbwa, JCB late nelly, salu ti, mbishi, one, fid.

Africa sarkodie, ice, eno, Ricky,emtee,MI, mecasa, cassiper, nk

Juu, brother ali, rogue, wu, nas, nk.
List ya tatu tuko pamoja.. Kwesta, khuli chana, K. O, kid X, Ricky Rick, vector, phyno, olamide, Uzi, zoro, Etc nazipenda nyimbo ngumu hasa zile wanazo chana ki zulu, Yoruba na Igbo
 
List ya tatu tuko pamoja.. Kwesta, khuli chana, K. O, kid X, Ricky Rick, vector, phyno, olamide, Uzi, zoro, Etc nazipenda nyimbo ngumu hasa zile wanazo chana ki zulu, Yoruba na Igbo
Sema in Africa sarkodie kwangu namwona the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…