miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
Me napenda sana kuangalia series, kuogelea, mziki na kupika Yan hapo huniambii kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu na mimi inanipa taabu sanaAisee napenda sana ngono
Siwezi kumaliza Siku bila kufanya
Hahaha "agemate" na wewe huku hupooo!!!!!!!!!!!?Hi chit chat
Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa
Wewe je?
Greeting in the name of king Sellasie highMimi napenda sana bangi hats nisipi vuta nikiona watu wanavuta roho inatulia
Umeona Ehee [emoji12]Hahahaah
Mamaaa shughulii[emoji108] [emoji108]
MabestMi napoingia chooni nakuwa ulimwengu mwingine kabisa nakata tu dakika 30 hadi 45 nikitoka mwepesi kabisa.
Napenda sana 'kunya' aiseee nisipokunya siku nzima huwa naenda kwa hospital fasta.
Last month si nikaa bila kukunya kwa two days kisa nalikula chips for the last two days consecutively ile naenda kwa doctor namkuta doctor binti mrembo nilivyomweleza tatizo yangu akauliza kama nalikuwa serious ama najoke nikamwambia 'yes, I'm serious' akaniandikia tablets to take. Naenda kwa dirisha napewa dawa naambiwa nitumie for a month sijui dr alipanga komoa mimi kisa napenda kunya!
Nipo tayali kukesha nachek muvi, kila siku nahakikisha nimepata japo muvi moja mpya. I like it foreverKumbe kuna watu wanaangalia za kibongo kizazi hiki??
..**age-mate** leo basi twende tukapoze koo zetu....age mate afuu unaonekana unapenda biaaaa!!!!!Nipo 'agemate'
Una zipi kali mkuu tubadilishane, maana mi mwenyewe napenda kukesha naangalia muviNipo tayali kukesha nachek muvi, kila siku nahakikisha nimepata japo muvi moja mpya. I like it forever