Starehe yako ni ipi?

Napenda sana up2date news hasa kutoka chanzo cha Jamiiforum.
 
Reactions: SIM
Napenda kufanya mazoezi,kuchek movies,kulala,kungonoka haswa kama nimepata new chik
 
Hujakosea, angalia usiishie kubambia.
Haya mambo tafuta pesa, yatakufuata wala hutayafuata. Kama unasoma jikunje haswaaa na uwe na malengo.
Starehe hazina mwisho na hakuna kuchelewa wala kutosheka. Chagua fungu jema, mengine yatakuja kijana
Sawa Mr Kagame

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inaonekana wewe ni mswahili sana eeh.

Mm binafsi napenda kusikiliza mziki wenye sauti ndogo kwa manufaa yangu bila kuwabugudhi wengine
Mziki ulioshiba sio lazima uwasumbue majirani, inategemea nyumba yako iko je. Mimi napiga mziki wangu mzito kiasi lakini ukiwa kwenye uzio hausikiki, inategemea nyumba yako ilivyo
 
Mziki ulioshiba sio lazima uwasumbue majirani, inategemea nyumba yako iko je. Mimi napiga mziki wangu mzito kiasi lakini ukiwa kwenye uzio hausikiki, inategemea nyumba yako ilivyo
Kweli kabisa mkuu mziki ulioshiba hauna makelele kama jamaa anavofikiria
 
Sawa Mr Kagame

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
 
inategemea mkuu kama unaishi uswahilini na umepanga chumba huna budi kusikiliza kimziki kidogo.
Hapana sijapanga wala siishi uswahilini
Ila sipendi kusikiliza mziki kwa sauti kuwa kwa sababu ni tabia ya kiswahili na ya kishamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…