Starehe yako ni ipi?

Me napenda sana kuangalia series, kuogelea, mziki na kupika Yan hapo huniambii kitu
 
Hi chit chat

Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa

Wewe je?
Hahaha "agemate" na wewe huku hupooo!!!!!!!!!!!?
 
Mimi napenda sana bangi hats nisipi vuta nikiona watu wanavuta roho inatulia
Greeting in the name of king Sellasie high
I&I rasta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] together pamoja
 
Movie, movie aiseeee napenda sana yoyote ile ilimradi isiwe ya kibongo na Nigeria. Mziki ni wapili baada ya muvi
 
Mi napoingia chooni nakuwa ulimwengu mwingine kabisa nakata tu dakika 30 hadi 45 nikitoka mwepesi kabisa.
 
Napenda sana kwenda shughulini...kitchen party,send off,ndoa,reception nijipuree nitokelezeee...
Ndo starehe yangu jmn..sio mwenda saluni I do my own makeup,sinywi pombe,siendi clubs..anasa yangu ni shughuli tu[emoji4][emoji4]
Napokea mwaliko wowote na sare ntavaa!!!
 
Mi napoingia chooni nakuwa ulimwengu mwingine kabisa nakata tu dakika 30 hadi 45 nikitoka mwepesi kabisa.
Mabest
 
Mie napenda kunyonya Pop Corn jata sijui kwanii..
Najisikia raha kweli kweli ninaponyonya pipi ya kijiti.

Tatizo ndevu now zimeshaana kuota bai tabu tupu.
Nashindwa kujiachia kama zamani.

Sop Sad....
 
Movie, movie aiseeee napenda sana yoyote ile ilimradi isiwe ya kibongo na Nigeria. Mziki ni wapili baada ya muvi
Kumbe kuna watu wanaangalia za kibongo kizazi hiki??
 
Nipo tayali kukesha nachek muvi, kila siku nahakikisha nimepata japo muvi moja mpya. I like it forever
Una zipi kali mkuu tubadilishane, maana mi mwenyewe napenda kukesha naangalia muvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…