Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

Napenda sana 'kunya' aiseee nisipokunya siku nzima huwa naenda kwa hospital fasta.
Last month si nikaa bila kukunya kwa two days kisa nalikula chips for the last two days consecutively ile naenda kwa doctor namkuta doctor binti mrembo nilivyomweleza tatizo yangu akauliza kama nalikuwa serious ama najoke nikamwambia 'yes, I'm serious' akaniandikia tablets to take. Naenda kwa dirisha napewa dawa naambiwa nitumie for a month sijui dr alipanga komoa mimi kisa napenda kunya!
 
Kuangalia movies hasa za kikorea za Kijijini napenda sana
photo.jpg
cc: choikan aka Choi Kan Younghak
 
Back
Top Bottom