Pia bia unanunuliwa na demu mkali unatafutiwa๐๐Aliulizwa Chirwa tofauti ya Azam na Yanga ni nini?
Alijibu "Yanga ukiwa pale hutumii hela yako ya mshahara kwenye mavazi, chakula na mahitaji mengine.... kwasababu siku ukifunga goli, ukipita kkoo au sehemu yenye maduka unaweza kurudi na begi la nguo na viatu, zawadi za mashabiki au ukapewa hela nyingi tu bila kutarajia,au anaweza kuja boss anayekukubali(mwenye hela) akakupa laki 2 au 5.....ila hapa Azam fc mshahara wako tu na ukipita mtaani hakuna mwenye muda nawewe "
Kama Feisal juzi ile.......kila kitu anapewaPia bia unanunuliwa na demu mkali unatafutiwa๐๐
Kwa msambwanda ule anachomokaje Kwa mfano?Nadhani anaishi mpaka saizi huko
Tunashida kiasi fulaniMwanza kuna familia imempa jina mtoto wao eti fiston mayele,nchi ina vichaa wa mpira hii๐
Usiwalaumu,wengi ni wadogo kiumri na hawana management ya kuwaongoza,ulaya kuna wazazi waliamua kuwa ndio mameneja wa watoto wao.mbape ,neyma,ronaldinho etsMie nadhan bongo wachezaji wetu hawajitambui kwa njia moja au nyingine
Sisi bado tupo amachure wao wapo professional
๐๐๐๐sijui kafanya utafiti wake wapi Aisee,Mueleze atembee aache ushamba. Watu wako paris, pesa wanazo, umaarufu wanao na viwango havishukiMbona wakina Mbappe na Neymar wako Paris (The City Of Love) lakini hawashuki viwango?
Na wakiendekeza huo ujinga watabaki Tz hapahapa hutawasikia kwenye ligi za maana duniani.Hili jiji lisikie tu kwenye radio,ila Dar kuna starehe jamani,nimetembelea mikoa mingi nchini na nchi nyingi kidogo si haba,nyingine kwa kwenda phyisically nyingine kwa kusoma,kusikia,movies na mitandao .ila Dar bado ni kinara wa starehe,Jonas Mkude huwa anakula starehe mpaka anazima kesho yake anafungiwa,Chama kuna muda kiwango kilishuka kuja kufuatilia ni starehe za Tabata,
Obrey Chirwa,Amis Tambwe,Chama na wengine ukiwaambia warudi kwao watalia,Kapombe,Ngasa,Ajibu wanajua starehe zilizopo mjini hawawezi kuzipata hata Ibiza.n dio maana waligoma kucheza nje ya nchi
Ukiona mchezaji yupo Simba au Yanga na kiwango hakishuki mpe heshima yake,ujue ameamua kuzipa kisogo starehe za mjini,big up Shabalala na Aishi Manula.
Hawa wachezaji wanalipwa hela nyingi sana kuliko hata maafisa wa TRA stil wananunuliwa pombe na chawa wao na mademu wanaletewa.Mungu akupe nini tena .
Ukija kwenye Derby ya Simba na Yanga ndio usiseme wale first eleven hujiona kama wako mbinguni,nchi nzima inasimama kukuangalia,ikitokea ukafunga goli kwenye derby inabidi uzime simu maana utaishiwa chaji sms za mihamala ya M pesa,pongezi na mademu kujitongozesha...
Inataka moyo
Kaka pale Dar ukiwa na hela AF huna restrictions kama hujaoa asee utasema ni CaliforniaBata hazizoeleki ni vile tu hatuna hela
Ingawa hata bata la kwao Brazil hasa mji wao mkuu Brazilia huaga sio la kitoto mkuu, labda Neyma wakati akiwa kwao hakua na HELA ndio maana hakuwahi ku enjoy.Washamba wa Paris viwango vinashuka,Neyma alitakiwa kuwa zaidi ya Messi ila ushamba wa starehe ndio huyo anakufa bila balondor,pia kule wana njia nyingi za kuwadhibiti wachezaji wao kuhusu nidhamu