Starehe za jiji la Dar es salaam linavyoshusha viwango vya wachezaji wa Simba na Yanga

Kila mwaka kipindi cha samba tamasha lao kule Brazil Neyma hujifanya majeruhi.brazil kuna bata zaidi ya Spain .Tanzania hata kama ni masikini ila starehe tunajua kuziponda
 
Batani zuri kwa wasanii wa bongo movie & muziki
 
Kila mwaka kipindi cha samba tamasha lao kule Brazil Neyma hujifanya majeruhi.brazil kuna bata zaidi ya Spain .Tanzania hata kama ni masikini ila starehe tunajua kuziponda
Ndio maana hapo kwa Neyma nimekataa, achana na mji unaitwa Brasilia, kule kuna starehe, kule kuna RAHA za kila aina; BATA lipo Brasilia wewe, mademu wa kule nao ni moto mwingine, balaa sana, balaa kubwa.
Bado napata changamoto kubwa sana na UMASIKINI wa Tanzania, I think DATA za BOT na IMF/world bank hazipo sawa; ukilinganisha na nchi kama Philipines ambazo tunaziona movie zao kwenye channels kadhaa hapa bongo, maisha wanayo yaonesha wale wasanii na hali halisi za mtaani kwao ni tofauti sana. Kama huamini, jaribu kutafuta kazi nje ya nchi, kazi hizi za proffesinals ufanye kazi na hao wafilipino, huwezi kuamini, Bongo analipwa hela nyingi kuliko mfilipino
 
Kweli kabisa mkuu uko sahihi
 
Kuna siku nimeenda kitambaa cheupe pale Sinza, namkuta Novastus Dismass, Reliant Lusajo na Pawasa wanakula tungi mida Kama ya saa 9 hivi usiku. Mademu kibao wamewazunguka.

Nikajisemea Hawa wakifika mbali kwenye soka nitakubali uchawi na bahati zipo Duniani.

Next day kwenye ligi Lusajo hajafunga Hadi Leo nadhani... Kapitwa na Mpole na Mayele.

Kwa Lile tungi na mademu Mungu awasaidie tu.
 
Umenena ukweli ila umeharibu sana pale unapomtaja Mungu kwenye ujinga na upumbavu wa wanadamu., Kwamba Mungu ndiye anayewapa hao wachezaji mademu na pombe??? Kamwe usijaribu kulitaja bure Jina la Bwana Mungu wako. Mungu akurehemu.


YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
 
Raha ya hela uwe na warembo pembeni bwana wanachezea pumbuz zako
 
Amina mtumishi
Sadaka tunatoaje sasa
 
Mpole najua atasaini kati ya simba au yanga ila utaniambia,pamoja na miundo mbinu bora atakayoikuta huko akifikisha goli 7 kwa msimu sijui
 
Amina mtumishi
Sadaka tunatoaje sasa
Pita mjini kati utawakuta wahitaji, watu wanaoishi kwenye mazingira magumu uwapatie sadaka yako, kisha uamue kumkabidhi Yesu maisha yako ili uupate uzima wa milele.


YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI.
 
Pita mjini kati utawakuta wahitaji, watu wanaoishi kwenye mazingira magumu uwapatie sadaka yako, kisha uamue kumkabidhi Yesu maisha yako ili uupate uzima wa milele.


YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI.
Maisha yangu namkabidhia wapi,alafu hao ombaomba nasikia ni chuma ulere
 
Starehe za Dar hazizidi za Ulaya na mbona wachezaji wao hawashuki viwango
Wale ni professional players walioandaliwa specifically kucheza professional football.
Level ya discipline that goes into professional football ni wachache sana wanaweza. Hao wachezaji ulaya wanajinyima vitu vingi sana ili waweze kuput in such performances week in week out
 
Amina
 
Starehe za Dar hazizidi za Ulaya na mbona wachezaji wao hawashuki viwango
Unafananishaje ulaya na africa kweli,tuongelee afrika yetu hao wazungu tuwaache tu
 
Sisi tunaongelea ishu za Waswahili hao Wazungu achana nao huko.

Kwa hiyo tatizo lipo kwa wachezaji wenyewe au ni starehe zilizopo?

Mbona Wachezaji wa Majimaji FC hawako kwenye maeneo ya starehe na viwango vyao havipandi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…