Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Mkuu tafuta hela umasikini sio mzuri kabisa na niwakuogopwa kama ukoma hata unyonge nao haufai kabisa
 
wnachokifanya mlimani wanavipa vitu uthamani. Alafu bei za frem na apartments pale zinachangia wafanye hivyo, sasa mtu frem unatozwa milioni 2 kwa mwezi unategeemea utauza maji ya chupa kwa 500? hell no ni mwendo wa 5000+ kwa 1litre ya maji.
 
The
You are NOT targeted.
 
ilo gereza unahukimiwa ukifanya kosa mda gani na kusomewa mashtaka mda gani na kuhukumiwa?
Kimsingi ni mahabusu ndogo kipindi hicho kulikua na wimbi la vijana wanaiba vitu na hawakujua kama kuna cctv kamera mule shoprite kwa hiyo walikua wanawekwa mule kwanza
 
ona msukuma mwengine huyu,huna tofauti na aliyeshangaa kulala hotelini ni dola 3000 [milioni 7] kwa siku huko SElous
 
Sijaona msingi wa kulalamikia bei za Mlimani City kwa sababu unaweza kuzikwepa kwa urahisi kabisa kwa kutokwenda pale. Kumbuka mtu hujikuna mwenyewe mkono wake unapoweza kupafikia
 
Umesahau bei ya mademu wanaojiuza hapo mkuu!
Kwanza huwa wanakodi magari na kujifanya ni yao ili ukiwaibukia wakuuzie mbunye kwa 500k!!
Afu mbunye yenyewe sasa!!!! Haina hata ladha basi tu imebebwa na mitako mikubwa.
pole mkuu inaelekea una ushuhuda mzuri sana!
 
Uwa naendaga jangwani sea breeze.
chips kavu =5,000.
chips yai 2= 10,000.
Chips kuku=15,000.
uwa naangalia alafu nikifananisha na bei ya uswazi naona bora nikale home
 
Uwa naendaga jangwani sea breeze.
chips kavu =5,000.
chips yai 2= 10,000.
Chips kuku=15,000.
uwa naangalia alafu nikifananisha na bei ya uswazi naona bora nikale home
HONGERA...BORA ULE NYUMBANI,NA BADO UNAENDAGA!
 
ndo concept nzima ya value addition na branding. Kuna aina tofauti za consumers wenye behaviors tofauti tofauti. Mfano kinywaji kama Henessy kinaweza kisiuzwe kwenye Bar ya Buguruni kwa maana wanywaji wa Henessy unaweza usiwapate hapo. Ila kikiwekwa huko Bar ya Masaki huko kitapata wanywaji. Mfano mwingine ni kwenye magari, kuna magari yanauzwa milioni kumi na kuna magari yanauzwa bilion. Yote haya yanatengenezwa kwa makundi tofauti ya hawa consumers. Na ndo ilivyo hata kwenye sehemu za kupumzikia. Kuna kundi la watu pale Mlimani City ndo wanapafurahia na hawaoni raha wakienda sehemu ya tofauti. Na kuna kundi kipato chao hakiruhusu wao kuja kuvinjari Mlimani City. Ukiona unalalamikia bei za Mlimani City basi jua unaenda sehemu si sahihi kwako. Ni vyema ukaenda sehemu itayoendana na bajeti yako.
 
Nmecheka kwa nguvu wakati ni usiku
 

Ukivuka barabara ukashuka chini ya kanisa ya kakobe. Mihogo shilingi 200, supu 2000, soda 500. Wali mchicha, nyama, maharage 2500.

Kuna options (mbadala)mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…