Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Sehemu zingine vitu hua ghali ili kuepusha vurugu,sio kila mtu na wa aina yeyote ile awe na uwezo wakuenda sehemu ile,nadhani hata kodi ya pango wanayolipa wafanyabiashara ni kubwa pia,Mkuu tembelea sehemu ambazo unazimudu huku ukiendelea kutafuta.
 
Mkuu upangaji wa bei huwa unazingatia mambo kibao ikiwemo gharama za biashara husika.. Mtu anayeuza pop corn mliman city anakua na gharama kubwa sana za kiuendeshaji kuliko wale wa vitoroli vya barabarani. Mfano mtu aliepanga kijisehemu pale mliman analipa kodi lets say 500,000, analipa umeme 50,000, analipa mfanyakazi 200,000, analipa kodi ya serekali analipa ushuru analipa fire n.k ukijumlisha hapo hizo gharama na sustainability ya bisahara haiwezekani bei ikawa sawa na ya waendesha vitorori barabarani. So kuwa muelewa mkuu azawaizi unataka watu wafunge biashara zao.
 
Hayo maeneo huwa sisogelei nikiwa vibaya mfukoni, mara nyingi naendaga nikiwa na wajomba zangu tu maana kuna vimichezo wanavyopenda ila wakileta tamaa tamaa inakuwa ticket ya kuwarudisha home.🤣🤣🤣🤣🤣

Ice cream tu na pipi za buku 5 zinawatosha.

Nakumbuka ilikuwa ni sehemu ya mabishoo kwenda kuwinda vyupi, sijui hilo jambo linaendelea hadi leo.
 
Angalau wewe umeeleza vizuri..
Hicho ndiyo Kijiwe Kikubwa na Makao Makuu ya Kupumzika ( Kula Bata ) na Kupanga Mikakati zaidi kwa Wauza Dawa za Kulevya wengi nchini Tanzania , Matapeli wakubwa nchini na Mafisadi pamoja na Wala Rusha wakubwa pia. Kama ulikuwa hulijui hilo pole mno Mkuu na natumai kwamba kuanzia leo utakuwa umeshapata Jibu lako. Fanya Utafiti wako juu ya haya niliyokuambia na najua ipo Siku utakuja Kukubaliana nami hapa hapa.
 
Back
Top Bottom