Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Issue ukishalipa unaona kama wamekuibia[emoji3][emoji3]
Wewe kama mimi, nikipita hapo ujue nina sababu maalum inayo justify mimi kuwa hapo. Japo kwunywa juice ya 4000 uwezo upo.
 
Mkuu ebu nichane... Hao wa kujiuza nawatambuaje??

Nenda cinemax pale around mitaa ya pale kuna galz utakuta wana rob rob hawana campan ukimfuata wwngi atakwambia umlipie entrance mchek movie then utasepa nae hawa wengi ni wanachuo, samaki samaki hapa ni expensive bitches kama unapesa ya mawazo usijarib kabisaa na ni wakali balaa mitako ndo hyoo na kuna wwngine wanapenda kaa mwishon kabisa kordoni near na crdb bank au tpb bank siku za weeknd hz hasa night utakuta wamekaa au wamesimaa kwenye chuma flan wanakula selfie nk we mfate mchane una campan? Utaskia sina bhs ushapata. Mcity madem wanajiuza kwa akili so kma sinzaa[emoji23][emoji23]
 
Hapo nimekusoma mkuu [emoji3][emoji3]

nashauri maasikari waende kuwapiga picha hao wahaya.
 
Hicho ndiyo Kijiwe Kikubwa na Makao Makuu ya Kupumzika ( Kula Bata ) na Kupanga Mikakati zaidi kwa Wauza Dawa za Kulevya wengi nchini Tanzania , Matapeli wakubwa nchini na Mafisadi pamoja na Wala Rusha wakubwa pia. Kama ulikuwa hulijui hilo pole mno Mkuu na natumai kwamba kuanzia leo utakuwa umeshapata Jibu lako. Fanya Utafiti wako juu ya haya niliyokuambia na najua ipo Siku utakuja Kukubaliana nami hapa hapa.

Kwa kifupi Mlimani City pamejaa majambazi Dume na majambazi Jike hivyo ukiingia pale wewe unakuwa ktk hali ya "Owners risk"
 
Bei lazima ziwe juu mkuu kutokana na kodi ya pango kuwa kubwa hivyo hivyo
 
Ukisikia uza nyumba weka heshima baa basi ndo namna hiyo. Heshima ina njia zake
 
Issue ukishalipa unaona kama wamekuibia[emoji3][emoji3]
Kule ni kuibiana mzee mana wapo wengine mulemule bei zai zipo chini sema ndo kujua tu.
Binafsi huwa siendi kabisa labda niwe na kazi ya kufanya na nimeenda si zaidi ya mara tano na likija swala la gharama za chakula aloniita pale anahusika la sivyo nashinda na njaa.
 
Nilimbeba mbongo muv mmoja pale na tako lake lile sijui la mchina aiseeee Mana s kwa ulain ule [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hivi wakuu nyie mnawezaje kumudu bei za pale kuanzia vyakula mpaka vinywaji?
Kuna siku nimeuziwa glass ya juice ya pineapple 5000, mpka nikajicheka, nikauliza popcorn za chumvi eti 4000..wale watu sidhani kama wapo serious..
Imefika muda nikienda yale maeneo nakuwa mziko kutumia visenti vyangu, hivi nyie mnaokula pizza, bugger na kulewa pale samaki samaki mnaweza vipi? Au mnajitoa akili tu?
kama alivyosema mleta mada mmoja, ukiondoa watu wengi wanoenda kuzurula mle ndani, kufanya window shopping, na wachache kufanya manunuzi,mlimani city ni sehemu ya watu ambao mfukoni wapo vizuri na hawaogopi kula bata.

binafsi ndio sehemu yangu ninayoitumia kukutana na rafiki zangu siku za weekend.

jana tu jumamosi nilikuwa pale samaki samaki nikinywa local beer na washikaji.

hizi ni picha zangu za jana.
IMG_20190728_093759.jpeg
IMG_20190728_093714.jpeg
 
Ulimpa jibu gani
Kuna sehemu moja nilikuwa, ni hadhi za juu. sasa demu moja akaja na mwenzake, moja akaenda kuliwa mwingine akabaki
baadae akaniomba simu eti ampigie dereva tax. sikuwa na hiyana nikampa.
kesho yake akanitumia msg nikamuuliza "we nani"? akatuma picha, nikamwambia mbona sikukumbuki akanikumbusha, nikamwambia sikumbuki kukupa namba yangu ya simu?

basi baada ya maongezi akaniambia anatafuta wateja, nikamuuliza wateja wa nini, akasema K

kufuppisha stori nikamuuliza nikitaka huduma shilingi ngapi? akasema kuanzia dola 200.

Jibu nililompa yeye mwenyewe anajua [emoji23] [emoji23]
 
Elewa kitu kimoja tu pale ni sehem ya kutenganisha walio nazo a wasio nazo
 
Back
Top Bottom