Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mkuu hizi siku 3, naona Kama watu walio Kwenye ndoa Wana faidi.Una umri gani mkuu? Fanya uoe update majukumu
Samahani mkuu, kwani kukua mwisho wake ni lini🤔🤔.Ukikua utaacha
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.
Kwanini una sema hivyo??Baki hivyohivyo mkuu ukija kujichanganya huku utajuta furaha yako itapakwa tope..
Ukitaka kujua kwanini alika watu kwenye hiyo furaha yako unayoona ni huzuni ili wakuhuzunishe zaidi..Kwanini una sema hivyo??
Madam SI tuna Tafuta pesa, ili tufanikishe na tuishi ndani ya Malengo yetu🤔Kama upo bored basi jua hiyo sio life style yako,
Tafuta Girlfriend mpenda hela akuchangamshe uzidi kua mtafutaji.
Hahahaha hiyo title kibokooooMods Mbona mme badili jina la Uzi wangu??
Uzinzi haufai shekhe wa dubaiKutoomber je?
Kama pesa ushaipata basi tafuta rafiki wa kike aitumie ili usiwe boredMadam SI tuna Tafuta pesa, ili tufanikishe na tuishi ndani ya Malengo yetu[emoji848]