Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Majukumu ninayo mkuu, sema muda mwingine una kuwa bored tu.
Kama una majukumu tayari basi badilisha mfumo wako wa kupumzika. Badala ya kutazama movie fanya kitu kingine mfano kumtoa binti wa jirani aliye 18+ dinner mkaongea mawili matatu, kumtembelea rafiki yako kwake, kujifunza kitu kipya mfano lugha.

Mambo ni mengi mda wa kuishi mchache huwezi yamaliza.
 
Nita jaribu, ila Nita ishia kuongea nae tu.
👉Maana lawama za ukoo, sizi taki🤒
Unaweza ongea nae pia. Lengo si lazima kufanya ngono, unaweza tafuta binti ambaye anakuheshimu ukamtoa outing ukamsikiliza mawazo yake, ukamshauri, mkapiga story mbili tatu ukimpenda ukamtaka ukamtongoza si dhambi pia.

Mpaka mmalizane ukapata uhakika kuwa umekataliwa au umekubaliwa utashangaa ulivyopoteza muda wako bila kuwa bored na kuna kitu utakuwa umeongeza.

Usipompenda basi unaweza tumia muda kumshauri maisha, akakutambulisha kwa marafiki zake kama bro unajiongezea network ya watu kukupa kampani badala ya kujifungia ndani na game.
 
Back
Top Bottom