Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Kula , kuangalia series/movie/documentaries,kucheza game,kuangalia mpira weekend kama hamna mpira mimi hua naishi kwa tabu sana uzuri manzi yangu nae anapenda kunisapoti kuangalia mpira so mara nyingi tunatoka tunaenda sehemu kula na kuangalia mpira. Ila mambo ya kunywa sijui club na mimi haviendani kabisa
 
Tuko same category aisee, sema sometimes una kosa ka vibe fulani 🤒.
👉Ume nizidi hapo kwa manzi tu😆🤣
 
Tafuta mchuchu awe anakupa sapoti, sisi tusikua na marafiki wengi tunaishi kwa shida sana , unakaa mtaani watu hata hawakujui
Kuna girl tuli Anza kuwa na feelings towards each other.
👉aka enda kufatilia masuala ya chuo kwao, taarifa Zina kuja kaolewa🤣😆
👉 Bro Quimica story Zina fanana🤣😆😆😆, nami wangu ana kaa tanga🤣😆😆
 
Sema maybe niki pata pure innocent,(if you know, what I mean)
Tafuta mmoja akikisha kama wewe sio muongeaji sana yeye anakua muongeaji (sio wale wa uswahili wanaopenda vishuhuri kila siku au wale wavaa vijora) hakikisha kuna vitu mnaendana kidogo. Mfano mimi sio muongeaji sana wala sipendi sana kuzoeana na watu ila manzi yangu yeye ni muongeaji, nilikua siwezi kuongea na simu hata kwa dakika 5 ila sasahivi tukiongea kwa simu tunatumia mpka masaa matatu
 
Back
Top Bottom