Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Hayo ndo Maisha huwa naishi since nasoma primary Uganda

Kula vizuri Sana
Kuvaa vizuri Sana hapa Mimi nikivaa vizuri huwa sitoki Wala kwenda popote

Kusoma vitabu
Kukaa mtandaoni

Faida zake
Huwezi pata magonjwa ya ngono yoyote

Unasave pesa na bajeti.

Unapata Muda Mwingi wa ku-dig knowledge.

Job-home hii ndo naishi baada yakuwa Mtu mzima

Ili kuwa smater hustler unabidi Kuwa na commitment cleanest lifestyle ikiwemo ku-Abstain short term gratification like Alcohol, Sex , weed, Cigarettes,

..✌️
 
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.
👉Mwezi huu Ume kuwa wa ki utofauti Sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.
👉Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
👉Watu wa style Kama yangu, huwa mna ishije🤒
View attachment 2783816
Umesoma shule na kupata elimu zaidi ya elimu ya madrasat?
 
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.
[emoji117]Mwezi huu Ume kuwa wa ki utofauti Sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.
[emoji117]Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
[emoji117]Watu wa style Kama yangu, huwa mna ishije[emoji855]
View attachment 2783816
Lazima ni kibonge
Una chkua sana sheria mkonon.. ndo tabia ya watu wa namna yako
 
Back
Top Bottom