Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Fanya uoe upate cha kukushughulisha, jioni ikifika roho inauma hutaki usiku uingie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza SI bet, pili nyinyi msio wacheza game - mme pata kipi??🤔Hiyo tabia ya kucheza game au kubet imefanya nikuonee huruma maana wewe na familia yako mtaishia kuwa mafukara.
Acha bangi 🤣😁😁, we SI uko morogoro🤣😁😁😁.habibiiiiiii wellcome to madagascar
🤣🤣Acha bangi 🤣😁😁, we SI uko morogoro🤣😁😁😁.
👉 Vipi Dem wako uli mpata😁🤣
Dah 😃😄😂, sema huko Kuna michezo mingi😁🤣🤣🤣🤣Huku hakuna raha kaka tunakatiwa umeme hadi kero tunabaki kupoteza muda beach
Acha nane mtu mwenyewe mzee huyo ajitambuiKwanza SI bet, pili nyinyi msio wacheza game - mme pata kipi??🤔
Nina majukumu kiasi cha kwamba masaa 48 ya wkend hayanitoshiUna nicheka 🤔🤔, Akati ni wale wale😁🤣🤣
Hakuna kaka huku kuna dimbwi la ukahaba tuDah 😃😄😂, sema huko Kuna michezo mingi😁🤣🤣
SisterNina majukumu kiasi cha kwamba masaa 48 ya wkend hayanitoshi
Kuoa bado Kaka, maybe nita fute mchumba 2030🤒Fanya uoe upate cha kukushughulisha, jioni ikifika roho inauma hutaki usiku uingie.
Huyo ni Kaka ako, sio toto Kama monky de Luffy 🤣😁Abee totoo
Mambo yako?
Fresh uko okAbee totoo
Mambo yako?
Wabongo mna kazi sana.. so unahisi starehe ni kwenda lounge na club tu?Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.
👉Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.
🤣Huyo ni Kaka ako, sio toto Kama monky de Luffy 🤣😁
😂😂😂😂 yuko floor gani?Huyo ni Kaka ako, sio toto Kama monky de Luffy 🤣😁
KUla nakula madam, ila mock tails ndo nini 😁🤣🤣Wabongo mna kazi sana.. so unahisi starehe ni kwenda lounge na club tu?
We huwezi enda hotel ukachill mgahawani ukala? Ukanywa mocktails? Ukarefresh?
Sister uko POA??Tunaishi hivyo hivyo kama wewe mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Google 😂😂 spesheli kwa wasio tumia vileviKUla nakula madam, ila mock tails ndo nini 😁🤣🤣