Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

,👉hivi huwa mna penda nyimbo ost (theme) zile za kwenye season hasa kikorea.
👉Tafuta hizi - can you hear ma heart ( with no rap)- scarlet heart
👉Our tears by hyoln - hwarang
👉good day by Melo mance - Mr sun shine.
👉When I close your eyes by bongu - river where the moon rises.
👉stay with me by chanyeol- goblin
Dream Queen, Charles kilian, Mvaa Kobazi, Hziyech22, Franky Samuel, Khantwe
 
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.

[emoji117]Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.

[emoji117]Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
[emoji117]Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije[emoji855]
View attachment 2783816
sio style mbaya,kinachotakiwa ni kuwa game mpy mpya na series mbalimbali za kukuburudisha,pia anza kusoma vitabu kupitia app mbalimbali
 
Back
Top Bottom