Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Mie nilangushaga PC nilikuwa kwenye bodaboda nafika home kuwasha haiwaki nililia kama mtoto halafu mzigo ulikuwa mpya nimetoka nao kariakoo nililia sana πŸ˜‚πŸ˜
Nili peleka pc kwa fundi, aka ua kioo usiku siku lala πŸ˜ƒπŸ€£.
πŸ‘‰Japo ali ni compeeate kioo chenye damage kidogo🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…