Starehe zote za hii dunia ni ubatili na hasara tu

Starehe zote za hii dunia ni ubatili na hasara tu

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Tangu January 2011 mpaka june 2024 nimetembea na wanawake 574 toka ndani na nje ya nchi yetu. Nimetumia zaidi ya milioni 28.3 kutekeleza uovu huu kwa kuhonga na kulipia gharama mbalimbali ili kujionea raha ya ngono.

Nilichobaini ni kuwa tofauti ya wanawake ni ma housing na miguno tu.

Ushauri: Ngono inaweza kukupotezea fedha, furaha, uhuru na ubinadamu.

Ukitaka ngono, oa mke 1 tu, anatosha, mengine ni ubatili na kujilisha upepo.
 
Back
Top Bottom