Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
om boy approximately kwa kila dem umechoma 48k tuu, pesa ndogo hyoTangu January 2011 mpaka june 2024 nimetembea na wanawake 574 toka ndani na nje ya nchi yetu. Nimetumia zaidi ya milioni 28.3 kutekeleza uovu huu kwa kuhonga na kulipia gharama mbalimbali ili kujionea raha ya ngono.
Nilichobaini ni kuwa tofauti ya wanawake ni ma housing na miguno tu.
Ushauri: Ngono inaweza kukupotezea fedha, furaha, uhuru na ubinadamu.
Ukitaka ngono, oa mke 1 tu, anatosha, mengine ni ubatili na kujilisha upepo.