Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Tatizo la key board bhana!kuhinga ndo nini
Hata wewe unaweza kurekebisha issue ikasonga, au siyo?
Hapo alimaanisha kuhonga(i na o zimekaribiana, ni rahisi kupandiliana wakati wa kuhariri)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la key board bhana!kuhinga ndo nini
Usitutegee mkuu,zipo nyingi sana,tuendelee kuzipelekea moto
Umenikumbusha jamaa mmoja yeye alikuwa anatembea na wanawake tofauti wa kila rika ila wake za watu ndo walikuwa wengi na alikuwa anahakikisha anapiga nao selfie.
Kwenye simu alikuwa na picha zaidi ya 200 na zote kabigia akiwa guest house tofauti.
Majuto aliyokuwa nayo ni mengi kuliko furaha. Naungana na wewe Mke mmoja anatosha sana.
Ngoja na sisi tukaoneUkitaka ngono, oa mke 1 tu, anatosha, mengine ni ubatili na kujilisha upepo
TAPETA 😀Mengineyo yote ni kweli tupu Ila hapo kwenye kutumia 28.3m jamaa watakuja kupopoa eti ni TATEPA (TANZANIA TEA PACKERS)
😊😊😊😊
nimesoma. nikupe pongezi na medal of honour 🏅Soma vyema bandiko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni ubatili na hasara lakini kwa wakati husika si ulifurahiaa?? Acha watu waenjoy wakati ni wao[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mdau mmoja ni mlevi aliwahi sema eti hakuna furaha wala faraja katikati ya mapaja ya mwanamke, sijui nini kilimsibu,
Umenikumbusha mbali mkuu, tukiwa chuo mwaka mwaka 3 wakumaliza kuna lecture mmoja tuliyekuwa tunamkubali sana alitwambia tukiwa class you guys whatch out msije mkamaliza chuo hapa hujapata mchumba, hiyo kauli ilinihamasisha sana.Mwalimu alitwambia tusome tupate kazi tutakuwa na uwezo wa kubadili wanawake tutakavyo, huu ulikuwa ushauri wa hovyo sana na ndio ulinichochea kuwa na notebook kuorodhesha wote.
13yrs x 365days = 4,745 daysTangu January 2011 mpaka june 2024 nimetembea na wanawake 574 toka ndani na nje ya nchi yetu. Nimetumia zaidi ya milioni 28.3 kutekeleza uovu huu kwa kuhonga na kulipia gharama mbalimbali ili kujionea raha ya ngono.
Nilichobaini ni kuwa tofauti ya wanawake ni ma housing na miguno tu.
Ushauri: Ngono inaweza kukupotezea fedha, furaha, uhuru na ubinadamu.
Ukitaka ngono, oa mke 1 tu, anatosha, mengine ni ubatili na kujilisha upepo.
Kwa wenye fani yao hii pendwa inawezekana kabisa.usipige hesabu ndugu utajichanganya bure