Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

Mbps

1 Mbps = 0.125 MBps


Megabit per second​
Megabyte per second​
1 Mbps0.125 MB/s
2 Mbps0.25 MB/s
3 Mbps0.375 MB/s
4 Mbps0.5 MB/s
5 Mbps0.625 MB/s
6 Mbps0.75 MB/s
7 Mbps0.875 MB/s
8 Mbps1 MB/s
9 Mbps1.125 MB/s
10 Mbps1.25 MB/s
11 Mbps1.375 MB/s
12 Mbps1.5 MB/s
13 Mbps1.625 MB/s
14 Mbps1.75 MB/s
15 Mbps1.875 MB/s
16 Mbps2 MB/s
17 Mbps2.125 MB/s
18 Mbps2.25 MB/s
19 Mbps2.375 MB/s
20 Mbps2.5 MB/s
21 Mbps2.625 MB/s
22 Mbps2.75 MB/s
23 Mbps2.875 MB/s
24 Mbps3 MB/s
25 Mbps3.125 MB/s
26 Mbps3.25 MB/s
27 Mbps3.375 MB/s
28 Mbps3.5 MB/s
29 Mbps3.625 MB/s
30 Mbps3.75 MB/s
31 Mbps3.875 MB/s
32 Mbps4 MB/s
33 Mbps4.125 MB/s
34 Mbps4.25 MB/s
35 Mbps4.375 MB/s
36 Mbps4.5 MB/s
37 Mbps4.625 MB/s
38 Mbps4.75 MB/s
39 Mbps4.875 MB/s
40 Mbps5 MB/s
41 Mbps5.125 MB/s
42 Mbps5.25 MB/s
43 Mbps5.375 MB/s
44 Mbps5.5 MB/s
45 Mbps5.625 MB/s
46 Mbps5.75 MB/s
47 Mbps5.875 MB/s
48 Mbps6 MB/s
49 Mbps6.125 MB/s
50 Mbps6.25 MB/s

Megabit per secondMegabyte per second
51 Mbps6.375 MB/s
52 Mbps6.5 MB/s
53 Mbps6.625 MB/s
54 Mbps6.75 MB/s
55 Mbps6.875 MB/s
56 Mbps7 MB/s
57 Mbps7.125 MB/s
58 Mbps7.25 MB/s
59 Mbps7.375 MB/s
60 Mbps7.5 MB/s
61 Mbps7.625 MB/s
62 Mbps7.75 MB/s
63 Mbps7.875 MB/s
64 Mbps8 MB/s
65 Mbps8.125 MB/s
66 Mbps8.25 MB/s
67 Mbps8.375 MB/s
68 Mbps8.5 MB/s
69 Mbps8.625 MB/s
70 Mbps8.75 MB/s
71 Mbps8.875 MB/s
72 Mbps9 MB/s
73 Mbps9.125 MB/s
74 Mbps9.25 MB/s
75 Mbps9.375 MB/s
76 Mbps9.5 MB/s
77 Mbps9.625 MB/s
78 Mbps9.75 MB/s
79 Mbps9.875 MB/s
80 Mbps10 MB/s
81 Mbps10.125 MB/s
82 Mbps10.25 MB/s
83 Mbps10.375 MB/s
84 Mbps10.5 MB/s
85 Mbps10.625 MB/s
86 Mbps10.75 MB/s
87 Mbps10.875 MB/s
88 Mbps11 MB/s
89 Mbps11.125 MB/s
90 Mbps11.25 MB/s
91 Mbps11.375 MB/s
92 Mbps11.5 MB/s
93 Mbps11.625 MB/s
94 Mbps11.75 MB/s
95 Mbps11.875 MB/s
96 Mbps12 MB/s
97 Mbps12.125 MB/s
98 Mbps12.25 MB/s
99 Mbps12.375 MB/s
100 Mbps12.5 MB/s
 
Watanzania wengi hawawezi afford lipia starlink.
Starlink ukifika 1TB inazingua, maana yake kwa siku usizidishe GB 30
Sasa mkuu 1T kwa mwezi kwa laki 1 bado ulalamike?

Pili utaratibu wa 1T per month uliondolewa toka mwezi May 2023.

Kwa huo utaratibu ilikua 1T per month na ukimaliza hiyo Terabyte 1 unauziwa 1GB kwa dollar 0.25 sawa na shilingi 650. Vodacom kwa sasa 1GB ni shilingi elfu 3.

Kwa sasa Starlink kwa mwezi ni unlimited.
Screenshot_20231010_024914_Chrome.jpg
 
Uelewa wako ni mdogo sana kama jina lako.
Umeizidi nini USA zaidi ya kuwa masikini tu?
Huwezi kupokea pesa kwa Paypal na bado tangu 1961 mnahangaika na matundu ya choo kwa shule za msingi na sekondari.
Dunia ya sasa Internet ni anasa kwa
Vijana kama wewe ndo mnaoolewa huko Ulaya na Marekani. Kwasababu ni mzungu anafanya basi ni sahihi. Shenzi kabisa. Wamarekani wenyewe kama muda ungerudishwa nyuma wasingeruhusu uuzwaji holela wa silaha kwasababu mauaji ni mengi mno. Kuhusu umaskini wetu sijakataa kwamba una hoja tatizo unatoa mifano ya kipuuzi isiyoendana. Wewe ni msomi mavi kabisa.
 
Hili linakuhusu Nape Nnauye kwa nini mnawawekea urasimu staring!? Kuwekeza katika sekta ya internet!?

Nahisi kuna harufu ya rushwa kubwa sana kwenye hili swala... kwa watoa Huduma&wizara yenye dhamana...

Maana hawa jamaa endapo wakitia maguu... huo ndio utakuwa mwisho wa huu wizi wa kimacho macho wa bando.

Urasimu wa nini? Dunia inaenda kasi sana kiteknolojia?

Napata wazo kuwa tunakoelekea kwa umakini wa huyu jamaa(Elon Musk).

Iko siku tutaweza kuaccess hii Satellite yake bila ya nchi kuhusishwa! (kwa special satellite chipsets) muda utaongea
Kuaccess satelite internet ni kitu rahisi sana,tena na starlink inavyosogea kwa nchi jirani,rwanda,kenya na sasa zambia ni jambo la muda tu watu tutakua nayo majumbani na tutalipia kwa safari com ya kenya kama ilivyo kwenye paypal tu 😀
 
Hii nchi mpaka Nape atoke madarakani na machawa wa mtu flani waloingia ubia na local ISP watoke, ndo Starlink itaingia TZ.
Naunga mkono
Huyo Jimbo lake tu 2025 labda kutumia silahaa maana wamechoka na tabia yake akitoka bungeni anakumbuka chapati na rost ya kuku wa maziwa.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Uelewa wako ni mdogo sana kama jina lako.
Umeizidi nini USA zaidi ya kuwa masikini tu?
Huwezi kupokea pesa kwa Paypal na bado tangu 1961 mnahangaika na matundu ya choo kwa shule za msingi na sekondari.
Dunia ya sasa Internet ni anasa kwa nchi ya Tanzania.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Vijana kama wewe ndo mnaoolewa huko Ulaya na Marekani. Kwasababu ni mzungu anafanya basi ni sahihi. Shenzi kabisa. Wamarekani wenyewe kama muda ungerudishwa nyuma wasingeruhusu uuzwaji holela wa silaha kwasababu mauaji ni mengi mno. Kuhusu umaskini wetu sijakataa kwamba una hoja tatizo unatoa mifano ya kipuuzi isiyoendana. Wewe ni msomi mavi kabisa.
Uelewa wako ni mdogo sana kama jina lako. Haukustahili kuwa kiongozi hata hutuba za jina lako ni km mtu aliyepoteza matumaini.
Hiyo comment atakaelewa ni mtu mwenye akili kubwa ila kwa kuwa wewe ni chawa wa samia km mwijaku kwa elimu ya kuunga unga huwezi kuelewa.
Hapo umekariri ni uzwaaji wa bunduki tu. Wewe chawa na huyo boss wako mlitakiwa muwe bongo muvi km ile muvi ya Royal Tour
  • Unasilaha gani ulizozitengeneza mpk uuze?😁😁😁 Tangu 1961 hamjatengeneza bunduki mnanunua kwa fedha nyingi za kodi za watanzania. Hao wanajeshi wanafanya mazoezi ya kuvunja matofali kwenye tumbo na kukamata nguo zinazofanana na sare za jeshi. Kuhusu Marekani kuuza bunduki ni sawa kwasabb wanatengeneza, kwa uelewa wako mdogo umeelewa na Tanzania inatakiwa iuze bunduki kwenye maduka km marekani. Serikali yako wakiuza bunduki madukani km wamerekani wanajeshi watakosa bunduki hadi polisi. Kuhusu mauaji siyo kigezo cha kutokuuzwa bunduki km serikali ina ulinzi imara. Mbona wamerekani wanauza bunduki na hakuna hata kikundi cha boko haram au Islamic state?
  • Kwa akili ya bongo muvi ya uchawa ni sababu gani zinazozuia Starlink isifanye kazi Tanzania? Uchawa utakuua
  • Ni sababu gani tusipokee pesa kwa paypal? Kenya, Uganda mpk Ethiopia wanapokea pesa kwa paypal ila uchawa na ujinga wa viongozi hawajaruhusu. Unajua meua ndoto za watu wengi sana? Mtu katoka chuo, ametengeneza App yake anataka kuiuza dunia nzima ila shida ni njia ya malipo. Paypal hakuna
Umeizidi nini Marekani km unaona vyote ni haramu na bado unapokea misaada kwake? Tangu 1961 serikali ya ccm inahangaika na matundu ya choo tu na umeme wa mgao.
Nyie chawa na huyo mwenye jina mnawaza ccm ishinde kwa vyoyote kuliko kuangalia maendeleo ya wananchi
 
Uelewa wako ni mdogo sana kama jina lako. Haukustahili kuwa kiongozi hata hutuba za jina lako ni km mtu aliyepoteza matumaini.
Hiyo comment atakaelewa ni mtu mwenye akili kubwa ila kwa kuwa wewe ni chawa wa samia km mwijaku kwa elimu ya kuunga unga huwezi kuelewa
Hapo umekariri ni uzwaaji wa bunduki tu. Wewe chawa na huyo boss wako mlitakiwa muwe bongo muvi km ile muvi ya Royal Tour
  • Unasilaha gani ulizozitengeneza mpk uuze?😁😁😁 Tangu 1961 hamjatengeneza silaha mnanunua kwa fedha nyingi za kodi za watanzania. Hao wanajeshi wanafanya mazoezi ya kuvunja matofali kwenye tumbo na kukamata sare za jeshi. Kuhusu Marekani kuuza silaha ni sawa kwasabb wanatengeneza kwa uelewa wako mdogo umeelewa na Tanzania inatakiwa itengeneze bunduki na kuuza kwenye maduka. Serikali yako wakiuza silaha madukani km wamerekani wanajeshi watakosa bunduki hadi polisi. Kuhusu mauaji siyo kigezo cha kutokuuzwa silaha km serikali ina ulinzi imara. Mbona wamerekani wanauza bunduki na hakuna hata kikundi cha boko haram au Islamic state?
  • Kwa akili ya bongo muvi ya uchawa ni sababu gani zinazozuia Starlink isifanye kazi Tanzania? Uchawa utakuua
  • Ni sababu gani tusipokee pesa kwa paypal? Kenya, Uganda mpk Ethiopia wanapokea pesa kwa paypal ila uchawa na ujinga wa viongozi hawajaruhusu. Unajua meua ndoto zs watu wengi sana? Mtu katoka chuo, ametengeneza App yake anataka kuiza dunia nzima ila shida ni njia ya malipo.
Umeizidi nini Marekani km unaona vyote ni haramu na bado unapokea misaada kwake? Tangu 1961 serikali ya ccm inahangaika na matundu ya choo tu.
Nyie chawa na huyo mwenye jina mnawaza ccm ishinde kwa vyoyote kuliko kuangalia maendeleo ya wananchi. Leo umeme mgao
Mwambie aelewe 😂😂🤣
 
Back
Top Bottom