Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hii nililipia cha 10mbps jana kutwa nzima ilikuwa inasoma 1mbps Moja nikiingia YouTube ndio inaniletea hiyo 1.7M/s hapoKitaalam kasi ya juu itasoma kiasi gani kutoka kwenye hiyo 1.7M/s inayosomeka hapo kwenye kifaa chako?
Trump effectWatatoboa kwa sababu musk kwa sasa ni sehemu ya serikali huko Amerika nani mwenye mbavu za kumpa vikwazo kwenye biashara yake na akiangalia mnawategemea kwa mambo kibao nadhani naomba tena makusudi tu ili aone huwenda kuna dharau zilionyeshwa
Dah bora wewe kuna mmoja naona ametuma 166 BpsAirtel Hawa
Hiyo yenyewe sio Bora hapo nikiingia YouTube ila sehemu zingine Haina maajabu hiyoDah bora wewe kuna mmoja naona ametuma 166 Bps
watu wanadhani starlink itawasaidia wanapuuzia ilivyo ghaliNdio hapo kwenye simu yako itakuwa inasoma 100Mbps.. hadi 220 Mbps..
Sio ghali sana hapo tu Kenya imeenea Kila Kona kit Yao yote ni laki tatu tu Unlimited kwa mwezi 135,000 (Nyumbani)watu wanadhani starlink itawasaidia wanapuuzia ilivyo ghali
Kuwasaidia, yes itawasaidia. Watu watakaofaidi kwenye nchii hii ni wabunge. Najua TU starlink zitafungwa Bungeni.watu wanadhani starlink itawasaidia wanapuuzia ilivyo ghali
Mi naona iko sawa kuna jirani yangu anatumia Airtel anasema analipia 115k ila anasema hakuna rangi haijui huduma mbovu na customer care mbovu...watu wanadhani starlink itawasaidia wanapuuzia ilivyo ghali
Ikiwa inactive inakuwa hivyo. Ila ikiwa active inakuwa hiviYeah...
Mzee mtandao gani huo unasoma Bps
Anhaaa hapo sawaIkiwa inactive inakuwa hivyo. Ila ikiwa active inakuwa hivi
Halotel. Na huwa inaishia 4M/s haijawahi kuvuka hapoView attachment 3152766
Sasa unafikir watashindwa kumbuka musk sahz yumo ndani ya Serkali ya USAHayo ni maombi ya leseni...
Umenishitua sana...
Nilitaka kuanza kulitukana lile Bumunda la mtama.
Sawa ila bado ni hatua mzuri sanaHayo ni maombi ya leseni...
Umenishitua sana...
Nilitaka kuanza kulitukana lile Bumunda la mtama.
kununua vifaa ni KSH 88K = 1.7MMi naona iko sawa kuna jirani yangu anatumia Airtel anasema analipia 115k ila anasema hakuna rangi haijui huduma mbovu na customer care mbovu...
Ila elon na Starkik ni 6500 ya KSH aambayo ni bei sawa tu na Speed ni 200Mbps