Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
Kipindi cha kwanza timu ilikuwa kwenye balance nzuri lakini baada ya kutoka Mzamiru Yassin na Himid Mao ndipo kocha wa Uganda Micho aliona gap na yeye kuingiza wachezaji wenye Mindset za kushambulia na kutumia mwanya huo kuimaliza Stars.
Feisal hakutakiwa kucheza kabisa leo hakuwa na msaada kwenye timu anahitaji match fitness.
Pia nilishangaa kuona Dickson Job akicheza kiungo sababu hana uzoefu hata ethics za kucheza hiyo nafasi badala yake nilidhani Kapombe ndio angecheza kiungo halafu Job akabaki pale pale sababu Kapombe hiyo ni nafasi aliyokuwa anaitumikia kipindi anaingia Simba na anaimudu vilivyo.
Kocha amekosea sana kwenye Substitutions.