Stars ilivunjika baada ya Mohamed Hussein, Mzamiru Yassin na Himid Mao kutoka

Matteo Vargas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
803
Reaction score
1,329
Kipindi cha kwanza timu ilikuwa kwenye balance nzuri lakini baada ya kutoka Mzamiru Yassin na Himid Mao ndipo kocha wa Uganda Micho aliona gap na yeye kuingiza wachezaji wenye Mindset za kushambulia na kutumia mwanya huo kuimaliza Stars.

Feisal hakutakiwa kucheza kabisa leo hakuwa na msaada kwenye timu anahitaji match fitness.

Pia nilishangaa kuona Dickson Job akicheza kiungo sababu hana uzoefu hata ethics za kucheza hiyo nafasi badala yake nilidhani Kapombe ndio angecheza kiungo halafu Job akabaki pale pale sababu Kapombe hiyo ni nafasi aliyokuwa anaitumikia kipindi anaingia Simba na anaimudu vilivyo.

Kocha amekosea sana kwenye Substitutions.
 
Hatuna timu mzee!! Tim hii hata ikipta utaenda kufanya nni huko?? Bora ipite Uganda angalau wanajua jua!! Jibu ni kwamba tumefungwa kwa sababu tunastahili kufungwa full stop
Yaani sisi watanzania wakati mwingine tunajifanya hamnazo!!yaani kumfunga tu uganda ile mechi moja tukajiona sasa tuna timu nzuri!!mpira sio MAGUMASHI,MAGUMASHI bali ni mikakati.kauli mbiu za kwenye siasa ndio mzilete kwenye soka!!
 
Hatuna timu mzee!! Tim hii hata ikipta utaenda kufanya nni huko?? Bora ipite Uganda angalau wanajua jua!! Jibu ni kwamba tumefungwa kwa sababu tunastahili kufungwa full stop
Duh basi sawa
 
Mnaojua kusoma mchezo....mechi ya kwanza kidogo tupotee zile dk 15 za mwisho kipindi Cha pili. Mungu tu saidia Uganda hawakuwa makini na tukaibuka na ushindi. Lile goli la Jana kufungwa ni makosa ya beki na umakini wa forward wa the Cranes. Nasema tuondolewe tu tusiende kuwa gumzo huko kuwa timu itakayoondoka na aibu
 
Goli limepatikana baada ya ibrahim bacca kuacha nafasi yake kwenda kuziba mwanya alioacha shomari kapombe .

Kocha kakosea substitution... angetoka mudathir , sio mzamiru / himid
Na Dickson Job alikuwa anafanya nini pale??
 
Kipindi cha kwanza timu ilikuwa kwenye balance nzuri lakini baada ya kutoka Mzamiru Yassin na Himid Mao ndipo kocha wa Uganda Micho aliona gap na yeye kuingiza wachezaji wenye Mindset za kushambulia na kutumia mwanya huo kuimaliza Stars.

Feisal hakutakiwa kucheza kabisa leo hakuwa na msaada kwenye timu anahitaji match fitness.

Pia nilishangaa kuona Dickson Job akicheza kiungo sababu hana uzoefu hata ethics za kucheza hiyo nafasi badala yake nilidhani Kapombe ndio angecheza kiungo halafu Job akabaki pale pale sababu Kapombe hiyo ni nafasi aliyokuwa anaitumikia kipindi anaingia Simba na anaimudu vilivyo.

Kocha amekosea sana kwenye Substitutions.
Yaani hao wachezaji wawili walioongezwa toka Mikia FC Pusha FC ndo wameleta nuksi, kule Misri mbona tuliupiga mwingi mpaka ukamwagika.
 
Goli limepatikana baada ya ibrahim bacca kuacha nafasi yake kwenda kuziba mwanya alioacha shomari kapombe .

Kocha kakosea substitution... angetoka mudathir , sio mzamiru / himid
Pasi imepigwa katikati na kapombe alikuwa pembeni anamkaba mtu . Sasa kosa lake lilikuwa wapi, ?
 
Mpira hauna shortcuts,niwakumbushe tu aliyefunga goli la Uganda ni kijana wa miaka 19 ambaye anatokea football academy inaitwa Proline pale UG.Niishie hapa,nitarudi.
 
Goli limepatikana baada ya ibrahim bacca kuacha nafasi yake kwenda kuziba mwanya alioacha shomari kapombe .

Kocha kakosea substitution... angetoka mudathir , sio mzamiru / himid
Himid kaumia ,mzamiru tayari alikuwa na 🟡,Kwa maoni yangu dick akipaswa kurudi nyuma na Nova kwenda katikati Kwa dakika 5 tusingefungwa goli na dare ilikuwa na advantage kwetu ya h2h na uganda
 
Back
Top Bottom