Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Maandalizi ya muda mrefu na yenye umakini wa hali ya juu, bora tukajifunze wenzetu wamewezaje yale mataifa ambayo yapo mbele kimpiraJamani nauliza tu , Je walipewe booster? Walipata Jani?
Kama hawakupata tusilaumu
Ni kweli kabisa hata simba waliopochukua tu slogan yao ya mama ya "kazi iendelee" tayari wakaweka unajisi au unuksi juu yake, simba ikafungwa.CCM wana nuksi, walivyoweka mkono wao tu sisi tukajua kipigo na mbwa mwizi kinafuata.
Mambo ya michezo hayataki siasa, CCM wana usafi gani kuipa baraka Taifa stars kama si kuipaka nuksi.
Bado hiyo sio dawa kwa soka letu jama! Vijana tu baasi, kweli?Wale wazee wote kwenye ile timu wastaafishwe kwa manufaa ya umma, nasisitiza wazee wote, hata hayo majina yanayotokea ulaya yote hayana maana, watafutwe vijana wapya toka timu za ndani.
mkuu hiyo ni ya rais kwakuwa ipo kwakeHela ya Rais ama hela yako kupitia kodi.
CCM na Serikali yake walivyotia mkono tu kwenye Taifa Stars ndiyo nuksi ilipoingia. Mnambenepesha ng'ombe siku ya mnada.Cousin yangu anayechezea timu ya Taifa, alinieleza kwamba juzi baada ya kutembelewa na Waziri Mkuu, walilipwa posho zao zote ikiwemo malimbikizo ya nyuma.
Posho ambazo walikuwa hawajalipwa zilikuwa zinashusha Morali kwenye kambi, lakini Waziri Mkuu aliyeagizwa na Rais Samia Suluhu kuitembelea timu hiyo, alifahamu jambo hilo akalitatua.
Stars imetendewa haki na Serikali ya Rais Samia, ikiwa ni moja kati ya mipango yake ya kuzisaidia timu zote za Taifa (Rejea hatua alizochukua tangu aingie madarakani katika kuendeleza michezo ikiwemo Kuhuisha Mfuko wa Taifa wa michezo, kuanza ujenzi wa viwanja, kuondoa kodi kwenye nyasi bandia na hatua nyingine njema)
Matokeo ya leo yanahusu mpira wenyewe, Tumezidiwa wa DRC.
HATA HIVYO : Tuna safari ndefu bado. Tujenge timu zetu za Taifa.
View attachment 2007208
Chawa kaziniCousin yangu anayechezea timu ya Taifa, alinieleza kwamba juzi baada ya kutembelewa na Waziri Mkuu, walilipwa posho zao zote ikiwemo malimbikizo ya nyuma.