Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
hapana wametangulia kama walivyofanya katika bao la kwanza. Inatakiwa tuwaharibie wasifuzuTumetandikwa!!
Kweli Mrwanda atoke, aingie Ngassa.
tumepigwa la 3
Acha kuchanganya watu, Hilo goli umeliona Ch. gani?
kwani hauangalii mpira live? tumia link hii Watch Morocco vs Tanzania Live Stream OnlineMkuu nimesahau kuweka alama hii.....?
kwani hauangalii mpira live? tumia link hii Watch Morocco vs Tanzania Live Stream Online
kweli kabisa!tushukuru Mungu kwa wanavyocheza stars.., could have been worse