Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,715
Tehtehteh Ni Majani tu yakuwasha UPUPU wapigwe kuanzia airport taifa stars.Sasa tutembeze buti tu!
Msitugawe hapa bwana. Kama sio timu ni chama cha siasa? Kama ingekuwa sio timu basi isingekuwa bingwa mtetezi wa Tanzania. Haya turudi Marrakesh tumefungwa 3pole ndugu yangu, Yanga nayo ni timu basi
Madhara ya kuwaogopa waarabu. Kutokujiamini ni janga la taifa:=(