Stars vs Moroco in JF

Stars vs Moroco in JF

Nilisema huyu Nambari 14 wa Anzhi atakuja kufunga, Sikumbuki kama Bocco aligusa mpira tangu aingie. nachoombea tusiweke siasa tu game ikiisha.
 
nilishasema tatu? Tutapigwa la nne jiooooooooooooooooni!
 
pole ndugu yangu, Yanga nayo ni timu basi
Msitugawe hapa bwana. Kama sio timu ni chama cha siasa? Kama ingekuwa sio timu basi isingekuwa bingwa mtetezi wa Tanzania. Haya turudi Marrakesh tumefungwa 3
 
Poleni sana watanzani wenzangu! Tunaupeda sana mpira lakini mpira hautupendi!!
 
sijui wataitwa tena bungeni kuambiwa wamejitahidi, kusema sijui ni kocha ama wachezaji, sasa hata kumiliki mpira inakuwa issue kocha atafanyaje. mhmm,bora ya wale twiga wanachezea kweli utaifa
 
Mpira umekwisha stars kalala 3 - 1
Naona mpira sio fani, tujaribu riadha..

Anyway tulipoteza haya mashindano kwenye zile game za nyumbani
OOhh what could have been..!!!
 
Wachezaji watabaki kuwaona wenzao kwenye TV nakusema nilicheza Naye yule nilimkaba yule au nili save shuti la yule striker kazikwelikweli. hata Niger wapo African Cup of Nation.
 
Back
Top Bottom