Stars vs Moroco in JF

Stars vs Moroco in JF

Mbona hawapewi kadi hawa! Hiyo sio rafu? Wanataka kutuulia kipa wetu?
 
naona wanataka kumuumiza Shemeji yake kilakshari sasa ni Juma Kaseja.
 
Morroco 1 Taifa Stars 1 Na Huko Algeria wao Algeria 2 Can 0.
 
Kina Charles Hilal hawatangazi kwa kiswahili?
[h=2][/h]
 
kwa kweli tumezidiwa ball possession 77% kwa 23%
 
Poulsen unachelewesha nini towa dan mrwandah uyo kabla red card haikuja weka madogo hao Ngassa na Jabir Aziz wachezeshe mpira.
 
Back
Top Bottom