Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Natafta remote ya king'amuzi chenu maana ya mwanzo dogo alipasua ila kila nikifika ofisini kwenu Bamaga jibu ni kwamba hazijafika..tutegemee lini?
 
Mimi npo Chalinze pwani lakin Nina mwezi Chanel ya star TV haionekani..mda wote no signal
 
Nipo Dar, huu ni mwezi sasa star tv haionekani kwenye king'amuzi changu, tatizo ni nini?

Alafu mnakera sana hamjibu maswali mnayoulizwa hapa.
 
Mimi naitwa Lupakisyo Mwaisumo, nimefanya miamala mitatu, kulipia kifurushi cha DSTV lakini kwa bahati mbaya namba niliyokuwa nalipia ilikosewa, badala ya 42793676695, nilikuwa naweka 4279367669 , yaani namba 5 ya mwiso sikuiweka, hivyo tarehe 1/1/2015 mnamo saa 1:07 nilipoteza Sh. 7,000/=, tarehe 2/1/2015 saa 11:55 asubuhi nikaipoteza tena sh 10,000/=. Nimekuja kugundua tena nilipofanya muamala tarehe 2/2/2015 wa Sh. 17,500/= saa 2:09 usiku. Nimewapigia watu wa Tigo pesa kunirudishia hizo fedha zangu, wakanielekeza kuwanapaswa kuongea na nyie watu wa Startimes. hivyo naomba kusaidiwa katika tatizo hili. namba niliyoitumia kulipia King'amuzi hiki ni 0713874005, na smartcard inamilikiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa.

Inacekesha sana hii
 
jamani startimes hebu jaribu kutuletea na sisi watu wa mpanda katavi ving'amuzi vyenu kwa nini sisi tutumie madishi wakati huduma hiyo mnayo na ni nzuri jaribuni kuwa na huruma jamani tunaomba na sisi ni watanzania
 
Star times bei zenu ziko juu sana tofauti na wengine wakati channel ni zilezile au kwa vile tulinunua mapema ving'amuzi vyenu na tuko wengi liangalieni hilo
 
Mimi nimelipia elfu 27 kunabadhi ya channel za mambo hazionekani tena juzi th ndo nimelipia ingekua Azam si zote ningeona
 
Mi kinachonikera ni pale napolipia kifurushi cha mwezi halafu kinakatika (kuisha) kabla mwezi haujaisha.
 
Habari, nimeshawatumia malalamiko mengi kwenu kwenye wallpage hii but sijapata majibu toka kwenu, Naishi majohe kwa ngozoma. King'amuzi kuanzia asubuhi kinaandika no Signal ikifika saa moja kinafanya kazi vizuri tuu, natumia atena ya ndani ile yenye sumaku. Ila nilikinunua zamani sana hata kabla ya kuhamia kwenye mfumo wa ving'amuzi jee? inaweza kuwa sababu ya kuwa ni OLD VERSSION. Nipeni jibu nijipange kutokana na jibu toka kwenu wataalam.
 
Siku hizi local channels hazionekani bure kwa nini..Mimi kingamuzi changu bundle ikiexpire naona TBC 1 na sibuka tu..why?
 
Mi nimenunua simu yenu ya startimes solar 5 kwa kweli ni nzuri nimeipenda,hongereni,
 
Kisimbuzi changu tatizo lake ni kuwa baadhi ya channel ukiweka huwa picha inaganda tu ,lakini sauti inatoka yani picha inakuwa kama umeweka pause, nadhani mmenipata hapo, sasa unakuta napata hasara nikilipia yani sifaiadi huduma niliyolipia, kisimbuzi changu ni ile vesion ya mwanzo kabisa, naomba jibu pls!
 

habari yako

tutawasiliana na wewe kukupa maelekezo, ahsante

Huu uzi una maana gani kama hamjibu maswali ya wateja? startimes Tanzania hivi mitambo yenu ina shida gani kiasi kwamba hata gari ikipita nje ndani inasoma NO SERVICE?
Toka tarehe 30 sept 2015 19:00hrs mpaka dakika hii sipati huduma yoyote napata chenel 18, hata nikijaribu kusearch pia zinarudi hizo 18 tu tena nyingi za bure wakati nimelipia, huu kama sio wizi ni nini? Na kama mna tatizo kwanini msitoe taarifa kwa wateja wenu jamani??? This is too much
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wengi tunapenda kuangalia ligi kuu ya English mngeonyesha ingekuwa poa sana kwani mngejaza wateja mpaka balaa.
 
..mimi niko huku Moshi Kilimanjaro,baada ya kuona nalipa pesa lakini king'amuzi chenu kinascrach mda wote,nimeenda kwenye ofisi yenu hapa moshi lakini customer care haiko vizuri,..nikaamua kuwa mteja wa washindani wenu.Kimsingi naomba mbadilike sana.Asanteni..
 
Back
Top Bottom