Mimi naitwa Lupakisyo Mwaisumo, nimefanya miamala mitatu, kulipia kifurushi cha DSTV lakini kwa bahati mbaya namba niliyokuwa nalipia ilikosewa, badala ya 42793676695, nilikuwa naweka 4279367669 , yaani namba 5 ya mwiso sikuiweka, hivyo tarehe 1/1/2015 mnamo saa 1:07 nilipoteza Sh. 7,000/=, tarehe 2/1/2015 saa 11:55 asubuhi nikaipoteza tena sh 10,000/=. Nimekuja kugundua tena nilipofanya muamala tarehe 2/2/2015 wa Sh. 17,500/= saa 2:09 usiku. Nimewapigia watu wa Tigo pesa kunirudishia hizo fedha zangu, wakanielekeza kuwanapaswa kuongea na nyie watu wa Startimes. hivyo naomba kusaidiwa katika tatizo hili. namba niliyoitumia kulipia King'amuzi hiki ni 0713874005, na smartcard inamilikiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa.