Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)


Mbona Kimya Star Times vipi hata hapa JF nako hakuna msaada???
 
Mimi nafurahia sana huduma zenu hata hivo kasoro ninayoiona ni kuhusu upande wa radio chanels zaTanzania hamna Mimi naomba kama inawezekana tuwekewe local chanels za radio za hapa Tanzania
 
Je naweza tumia dish moja lenye LNB MBILI NA MWINGINE ANAETUMIA CONTINENTAL DECODA?
 
SASA KAMA MNASHINDWA KUYATATUA TUKIFIKA OFISINI KWENU DODOMA MTAWEZA KUTATULIA HUKU. NGOJA TUCHEKI NA AKINA AZAM AU DSTv NAKO TUONE.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Mnajibiwa lakini maana naona mnajieleza weee sioni response. Nilijua maswali yote yanajibiwa. Kalagabaho

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Ni lini StarTimes mtaifanya Channel ya StarSwahili kuonyeshwa Live kupitia App yenu Ya StarTimes?

Romaxtim
 
DSTV hawana longolongo

Sent from my GT-I9506 using JamiiForums mobile app
 
Startimes mimi ni fundi wa dish nimemrekebishi mteja mwenye namba ya kadi 018194088488 5akini mpaka sasa hamjamfungulia na kifurushi kimeshasajiliwa.
 
Wadau,

Kuna siku linisikia kwa watu kuwa startimes wao siku 30 hazifiki wanakuwa wanakata, mimi nikaona kama stori tu, nikidhani kuwa system inakuwa automatic, so ikifika siku 30 inakata yenyewe. Kumbe wamekuwa wakifanya ivyo kama utamaduni wao, nilianza kushituka mwezi june nililipia bundle tarehe 8 ilipofika tarehe 1 likakata nikahisi nilichanganya tarehe, (kumbe wanakata wao).

Mwezi July nimelipa bundle tarehe 8 tena na leo WAMEKATA, so ndani ya miezi 2 wameniibia siku 14, kwa miezi 3 watakuwa wameniibia karibia mwezi 1. So hawa hawana sifa tena yakuendelea kutoa huduma. Je TCRA munalijua hili?

Je startimes hawastahili kufungiwa? Je niwangapi wanafanyia hivi nahawaja-notice?
 
Hao ni wezi waliobobea hamia DSTV mkuu au azam tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…