StarTimes Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 260
- 141
- Thread starter
- #641
je sauti haupati katika chanel zote! au chanel mojawapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingamuzi changu hakionyeshiHabari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Kingamuzi changu hakionyeshi
TBC1,
TBC2
CHANNEL TEN,
STAR TV,
E-TV (south A),
TV1.
Nipo PUGU KINYAMWEZI- DSM
Antena ya nje ya startimes (miba samaki yenye wire wa startimes)
02035172153
Hamna ujumbehabari yako, je kingamuzi chako kinakupa ujumbe gani juu ya screen? Kiuhalisia TBC1 lazima inonekane hata kama haujafanya malipo, tafadhari naomba tujulishe unapata ujumbe gani juu ya screeni yako!
EHHH NIPO MABIBO TOKA JANA NO SIGNAL MARA NO SERVICES MUDA MWINGINE NOTE SUBSCRIBESD NA NIMELIPIA NI KAAZIMA CHA JAMANI YANGU MAANA ALISHAACHAGA KUTUMIA VINGAMUZI VYENI KITAMBO SANA NAYO CARD ERREL
SHIDA NINI WAUNGWNA?
Hamna ujumbe
No servicehabari yako, tafadhari angalia vizuri, katika screen yako, ving'amuzi vyetu kama havionyeshi lazima vitaonyesha ujumbe hapo juu ya screen mfano No signal, No service, Smart card error, No access not subcribed, Not paired etc
Nipo Wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro.
King'amuzi changu kilisumbua nikakipela Ofisi ya mkoa Jengo la Kindoroko nikakutana na Kijana mmoja anaitwa Noel.
Akaniambia kuwa kina tatizo hivyo nilipie 20,000/= ili wanibadilishie kingine....
Nikalipa 20,000 wakaniandika kwenye daftari... Tukasumbuana sana kuhusu risiti....
Tatizo imekuwa kila nikiwapagia simu hawapokei .... Natoka Usangi kufatilia king'amuzi Moshi Mjini natumia 8,000
Nimeenda zaidi ya mara 6.... Kila siku ni tarehe .. Nikiwapigia simu hawapokei.
Nimejarbu kuwasiliana na makao makuu mara 2 Sipati msaada.
Je! Ofisi za StarTimes mmeajiri vijana wasanii??
Kama hamuwezi nirudishieni King'amuzi changu.
Mkiendelea kukaa kimya nitang'oa na dish niwapelekee......
No service
Sawa 0785 064353Tatizo la no service linatokana na kupokea mawimbi hafifu katika king'amuzi chako, Tafadhari tunaomba ututumie namba yako ya mawasiliano kwa msaada zaidi, ahsante
Yaani hivyo vya dish ndio pasua kichwa kabisaaa, nimehangaika nacho hadi nimechoka kipo tu ndani hakina kazi, natafuta ela ninunue dstvNipo Wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro.
King'amuzi changu kilisumbua nikakipela Ofisi ya mkoa Jengo la Kindoroko nikakutana na Kijana mmoja anaitwa Noel.
Akaniambia kuwa kina tatizo hivyo nilipie 20,000/= ili wanibadilishie kingine....
Nikalipa 20,000 wakaniandika kwenye daftari... Tukasumbuana sana kuhusu risiti....
Tatizo imekuwa kila nikiwapagia simu hawapokei .... Natoka Usangi kufatilia king'amuzi Moshi Mjini natumia 8,000
Nimeenda zaidi ya mara 6.... Kila siku ni tarehe .. Nikiwapigia simu hawapokei.
Nimejarbu kuwasiliana na makao makuu mara 2 Sipati msaada.
Je! Ofisi za StarTimes mmeajiri vijana wasanii??
Kama hamuwezi nirudishieni King'amuzi changu.
Sawa 0785 064353
Habari yako, pole sana kwa usumbufu, tafadhari tunaomba tutumie namba zako za mawasiliano au namba ya smart card, tutalifanyia kazi, tunaomba radhi kwa usumbufu ulioupata
habari yako, samahani kwa kuchelewa kukupatia majibu! ahsante
Asante yenu itakuwa na maana kwangu kama mtafanikiwa kunitatulia tatizo langu...
Namba nimewatumia Inbox