StarTimes Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 260
- 141
- Thread starter
- #701
Habari! Naombeni msaada juu ya hili king'amuzi changu cha startimes kuanzia juma tatu ya tarehe 2 mwezi huu jioni kinasoma channel tatu tu Stv guide,Tbc1 na Tv1 na wakati hapo awali kilikuwa kinaonyesha hizi channel TBC1,TV1,TVE,CLOUDS TV,ITV,EATV,TV IMANI,TABIBU TV tangu nimenunua mwaka 2011 naombeni msaada tafadhari maana litakuwa tena ni kopo tu na wakati nilikuwa napata hizi channel bure,
Nipo Dar.ahsanteh
habari tafadhri fika na king'amuzi chako duka la startimes lililo karibu yako