StarTimes Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 260
- 141
- Thread starter
-
- #701
Habari! Naombeni msaada juu ya hili king'amuzi changu cha startimes kuanzia juma tatu ya tarehe 2 mwezi huu jioni kinasoma channel tatu tu Stv guide,Tbc1 na Tv1 na wakati hapo awali kilikuwa kinaonyesha hizi channel TBC1,TV1,TVE,CLOUDS TV,ITV,EATV,TV IMANI,TABIBU TV tangu nimenunua mwaka 2011 naombeni msaada tafadhari maana litakuwa tena ni kopo tu na wakati nilikuwa napata hizi channel bure,
Nipo Dar.ahsanteh
habari tafadhri fika na king'amuzi chako duka la startimes lililo karibu yako
hivi kwenye startimes TVE pamoja na TABIBU huwa zipo kwenye king'amuzi...habari tafadhri fika na king'amuzi chako duka la startimes lililo karibu yako
mbona huku tabora wanauza 15000 mbna mnatutesa nyiehabari yako, zinapatikana katika maduka yetu, tsh 7000
Safi nitawatafuta ngoja niunge kwanza
Tayari nishanunua king'amuzi chenu naenjoy tu channel sahiziKaribu
Star times mnazingua sana sasa mbona sioni local channel sasa yapata mweziHabari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Mnakera kama ukinunua kifurushi mpaka kuwapigia Kwani hamuwezi Kuunganisha automatically Wakati hela mmeshaiona inakeraHabari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Waeleze mkuu.!!Mnakera kama ukinunua kifurushi mpaka kuwapigia Kwani hamuwezi Kuunganisha automatically Wakati hela mmeshaiona inakera