chambimagaka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 288
- 338
Nimekupata, kwa mwanza nawapata wapi aisee! Kwa mwanza!habari yako chambimagaka, karibu sana startimes
Bei za vingamuzi vyetu!
View attachment 690812
na bei ya vifurushi vyetu ni kama ifuatavyo
View attachment 690813
angalia mchanganuo huu kwani unaweza kulipia malipo ya siku wiki na mwezi pia, gharama za kifurushi kwa mwezi ni hizo zilizo kwa rangi nyekundu
StarTimes mbona tv1 haipatikani kwanini? Natumia king'amuzi chenu cha dish pale kwenye receiver kuna sehemu ya kuweka frash lakini nikiweka sioni ikisoma wala kwenye menu sioni maelekezo yoyote msaada pleasehabari tutumie namba yako ya kadi
Namba ya kadi 02035939630 ,nilikuwa na tatizo la kutoona hizo local channels mkaniambia nije ofisini kwenu na decoda yangu,habari tutumie namba yako ya kadi
Haaaaahaaa kumbe ndo hutambulika kwa hili jina?!
Jibuni swali kwanini tv1 kwenye dish imetoweka ghafla? au mmekosa jibu tuangalie mambo menginehabari tutumie namba yako ya kadi
Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
habari tutumie namba yako ya kadi
Na Mimi napata TBC tu ....habari tutumie namba yako ya kadi
Labda wanapaka grisiHawa jamaa [HASHTAG]#startimes[/HASHTAG] vipi? Mbn hawajitokezi kujibu maswali na maoni yetu?