Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Ikiwa mteja kaibiwa king'amuzi chake na mwizi anaendelea kukitumia na kulipia kwenu mnamsaidiaje aliyeibiwa kupata king'amuzi chake? Je aliyeibiwa akija na RB mnaweza kumpa namba za simu za mwizi wake?
 
Mkuu bora uwapigie simu startimes au nenda kwenye ofisi zao ,humu hawàtakujibu chochote huyu hajibu sijui hawajamlipa mshahara wake maana hajbu chochote.

Ukiwà na RB itakuwa rahisi kwako kukusaidia.
 
Mkuu bora uwapigie simu startimes au nenda kwenye ofisi zao ,humu hawàtakujibu chochote huyu hajibu sijui hawajamlipa mshahara wake maana hajbu chochote.

Ukiwà na RB itakuwa rahisi kwako kukusaidia.
Ahsante
 
Tv ya startimes inch 32 kioo kimepasuka, naweza kupata kingine? na bei yake je?
 
Tv ya startimes inch 32 kioo kimepasuka, naweza kupata kingine? na bei yake je?
Nenda tu mkuu ofisiñi kwao,
Huyu wa humu sijui yupo likizo au mshahara hawajamlipa???
Au bando hana tumchangie....
 
Siku hizi wanakuambia lipa pesa kwanza ndio wakuwekee Chanel za bure
 
Tuendelee kusikia matamko yasiyotekelezeka.ila kiukweli hata Chanel moja hatupati.zaidi ya matangazo ya kichina tu
 
mimi kifurushi kikiisha wanakata chanel zote nahisi wanakiuka agizo la Tcra sijui nichukue hatua gani 0755559807
 
Startimes ni hovyo kabisa ndio maana hata hapa wameikimnia thread yao, too much scratch kwenye king'amuzi cha mara uone No service basi ilimradi shida tupu.

Kuna umuhimu wa kuhamia Azam na Dstv, hawa ni nyoko kabisa.
 
Mbona startime receiver yangu sipati local channels zaidi ya TBC?
 
Nyie startimes customer càre yenu ni ya kipumbavu sanaa na hamko serious kabisaaaa,wateja wenu watawakimbia hivi karibuni na nitahakikisha magufuri anawapiga chini hamfai kabisaaaaa ninyi na hao wachina wenu wajinga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shida yangu Mimi ninacho cha antenna ninahamia mkoa mwingine je nitaweza kukitumia kama kawaida?
 
Nina king'amzi cha Star times anae hitaji aje nimpe bureee napatikana mbagala ukihitaji ni pm
 
Ninyi startimes ni wa hovyo sanaaa haiwezekani mpandishe gharama za kifurushi cha nyota kwa siku chache tu ....

Washeeeeeeenzi sanaaa ninyi ,
Natamani sanaaaa hata niwatukane matusi yaleee makubwaaaaa sanaaa sema nawaogopa mods....
 
Hahahahaha kitunze mkuu mwez wa sita kuna kombe la dunia.
Baada washushe wao wanapandisha na wakati DSTV wanataka wafanye FTA iwe Tshs 12,000 na watapata wateja wengi sana. Shaurri yao
 
Back
Top Bottom