Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Hawa jamaa lini watashusha gharama ya vifurushi vyao???
Vifurushi vyao havieleweki kwa kweli
 
Hawa jamaa lini watashusha gharama ya vifurushi vyao???
Vifurushi vyao havieleweki kwa kweli
Wanalindwa, filamu wanazoonesha ni hizohizo mwakanendamwakarudi. Walipotozwa malimbikizo ya kodi wakasukumia wateja deni kwa kuongeza shilingi elfu moja! wanslindwa.
 
Kifurushi cha nyota kiboreshwe namba ya kadi 02035255873
 
Mbona leo bollywood africa haiongei kiswahili nadhani hii ni kiyuganda jaman seeting pale inaonyesha kiswahili
 
TV imaan, vipi jamani , zamani ilikuwepo, tuambieni inarejea lini?
Nyembe wa morogoro
Familia imegomea kabisa, wanataka king'amuzi kingine.niwapiga Dana Dana naangalia peke yangu sasa, kwahiyo itarejea au LA?

Uongo nimeishiwa utasema ni Nina ownership katika king'amuzi , hebu toa majibu hapa, kuhusu hiyo TV imaan
 
Startimes naomba kuuliza kwann kingamuz changu nanunua kifurush cha mwez lakin kina kaa wik mbili tu nin shida naomba msaada nimechoka kulipia startimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…