Salange
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 680
- 644
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inabakia screen kuwa tu na rangi ya bluehabari yako je unapata ujumbe gani? katika chanel hizo
Maswali hamjibu acheni uhuni.habari yako je unapata ujumbe gani? katika chanel hizo
habari yako
tunaving'amuzi vya aina mbili, vinavyotumia antenna na vinavyotumia Dish
vinavyotumia Antena viko vya aina mbili
kuna vile ukinunua unafurahia chanel zaidi ya 75 mwezi mmoja kinauzwa tshs 59000
na kuna vile ukinunua
unapata chanel 17 kwa muda wa miezi 7.5 vinauzwa tsh 34000 (kingamuzi na malipo humo humo)
vingamuzi vinavyotumia Dish
hivi vinauzwa TSHS 139000 pamoja na ufundi unapata na dishi lake
kama unadishi kinauzwa Tshs 96000
Ahsante