Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

jumatano ya majivu asili yake ni imani za kale za kipagani, iliingizwa katika taratibu za kanisa katoliki mwaka 325 AD, hii ni moja ha mapokeo mengi ya kanisa la roma ambayo hayana uhusiano wowote na kanisa la kwanza wala hayapo kwenye bibilia kama muongozo wa imani ya kikristo, Kanisa katoliki linatumia muongozo tofauti kabisa na bibilia ndo maana huwa nasema kanisa katoliki sio imani ya kikristo japo wanadanganya kwa kuweka katika nyumba zao za ibada picha na masanamu ya mtu wanaedai ni kristo ambae kiuhalisia sie kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeh ilikuwa ikifanyikaje katika hizo Imani za kale za kipagani
 
Katika siku za Agano la Kale na pia katika Agano Jipya, kama tulivyosikia katika Maandiko Matakatifu ya kuwa ikiwa mtu alikuwa ametenda dhambi, alivaa nguo za magunia na kujipaka majivu katika mwili wake (Rej. Yer 6:26). Tendo hili tunalofanya leo la kupakwa majivu, linatokana na desturi hiyo ya kiroho ya kufanya toba. Katika ulimwengu wa wayahudi majivu yalikuwa ni alama ya huzuni, masumbuko, uchungu au uduni (Rej. Ayubu 2:8, 30:19; Zab 102:10). Baadaye utamaduni huu wa kupakana majivu ulitumiwa na wakristo wa kwanza kama alama ya toba.
Huo ni uwongo unaotuletea hapa.
Huku ndiko kutoa ijua biblia.
Na ninyi mnaomwomba maria mama wa Yesu awaombee.

Mkiulizwa,mnasema kuwa ati Yesu alimwambia mama yake kuwa angalia mwanao.
Lakini Yesu anasema mkimwomba baba kwa jina langu,pia maandiko yanaongoza kuwa tunaye mwombezi atuombeaye kwa baba. Watu waliomwabudu mungu enzi hizo hawakupakana majibu Bali walijimwagia majivu au mavumbi na kuvaa maguni kikweli kweli,wakijutia makosa yao mbele za Mungu.
Hawakufanya kama ishara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Didas Tumaini

Majivu yanayotumika siku ya Jumatano ya majivu yanatokana na matawi ya mitende yaliyochomwa,matawi haya ni yale yaliyotumika katika jumapili ya matawi/mitende iliyopita.Matawi haya yalitumika kumlaki Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu kwa shangwe akijiandaa kufa kwa ajili yetu.

Majivu haya hubarikiwa katika ibada ya misa ya jumatano ya majivu na hupakwa katika paji la uso kwa wale waumini waliohudhuria ibada hiyo.Ni ishara ya majuto na hutukumbusha kuwa sisi hapa duniani ni wasafiri tu hivyo tujute dhambi zetu na tujiweke tayari.Majivu hayo yaliyobarikiwa sio sacraments bali ni vijisakraments kama ilivyo kwa rozali,scapulari n.k.

Biblia inaonesha pia hata wayahudi walipomkosea Mungu walijipaka majivu kama ishara ya toba na majuto.(Esta 4:1-3,Mathayo 11:21,Luka 10:13,Yeremia
6:26,Isaya 61:3.Ezekiel 27:30)

Labda utajiuliza ni kwa nini tunapakwa kwenye paji la uso na sio sehemu nyingine ya mwili,ni kwasababu ,ishara yoyote inayowekwa katika paji la uso inaonesha ni *'Muhuri wa Mungu' na 'umiliki wa Mungu juu yako'.*
Rejea Ufunuo 7:3;9:4;14:1,Ezekieli 9:4-6

Tunapochorwa alama yoyote ya ishara ya msalaba either siku ya ubatizo kwa mafuta matakatifu au katika ibada au sakramenti yoyote ile ina maanisha kwamba sisi tupo chini ya milki ya Mungu,tupo chini yake yeye aliyetufia msalabani.

Kwa wakatoliki,majivu yanatukumbusha kuwa kipindi cha kwaresma kinaanza,kipindi cha toba na mfungo kwa ajili ya maandalizi ya pasaka.Katika kipindi hiki wakatoliki tunakumbushwa tumrudie Mungu kwa mioyo yetu yote (Yoeli 2:12)

Sala inayotumika wakati wa kupakwa majivu ni “wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi” (Mwanzo 3:19),maneno haya waliambiwa Adam na Eva baada ya kumwasi Mungu,ilikuwa ni adhabu ya kutomtii Mungu na kifo ndio kilichokuwa adhabu kwa dhambi waliyoifanya wazazi wetu wa kwanza.
Kumbe siku hii ya majivu ni siku ya kutukumbusha kuwa ipo siku tutakufa na lazima tujiweke tayari kwa kila wakati.

Ndimi
DidasTumaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu gani katika Biblia wameandika mpakane majivu tena kwakuchorwa msalaba usoni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unahitaji muda wa ziada kufundishwa ila ili ufundishwe uwe tayari kufundishika.....

2 wathesalonike : 2

15 Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu.
 
Na Didas Tumaini

Majivu yanayotumika siku ya Jumatano ya majivu yanatokana na matawi ya mitende yaliyochomwa,matawi haya ni yale yaliyotumika katika jumapili ya matawi/mitende iliyopita.Matawi haya yalitumika kumlaki Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu kwa shangwe akijiandaa kufa kwa ajili yetu.

Majivu haya hubarikiwa katika ibada ya misa ya jumatano ya majivu na hupakwa katika paji la uso kwa wale waumini waliohudhuria ibada hiyo.Ni ishara ya majuto na hutukumbusha kuwa sisi hapa duniani ni wasafiri tu hivyo tujute dhambi zetu na tujiweke tayari.Majivu hayo yaliyobarikiwa sio sacraments bali ni vijisakraments kama ilivyo kwa rozali,scapulari n.k.

Biblia inaonesha pia hata wayahudi walipomkosea Mungu walijipaka majivu kama ishara ya toba na majuto.(Esta 4:1-3,Mathayo 11:21,Luka 10:13,Yeremia
6:26,Isaya 61:3.Ezekiel 27:30)

Labda utajiuliza ni kwa nini tunapakwa kwenye paji la uso na sio sehemu nyingine ya mwili,ni kwasababu ,ishara yoyote inayowekwa katika paji la uso inaonesha ni *'Muhuri wa Mungu' na 'umiliki wa Mungu juu yako'.*
Rejea Ufunuo 7:3;9:4;14:1,Ezekieli 9:4-6

Tunapochorwa alama yoyote ya ishara ya msalaba either siku ya ubatizo kwa mafuta matakatifu au katika ibada au sakramenti yoyote ile ina maanisha kwamba sisi tupo chini ya milki ya Mungu,tupo chini yake yeye aliyetufia msalabani.

Kwa wakatoliki,majivu yanatukumbusha kuwa kipindi cha kwaresma kinaanza,kipindi cha toba na mfungo kwa ajili ya maandalizi ya pasaka.Katika kipindi hiki wakatoliki tunakumbushwa tumrudie Mungu kwa mioyo yetu yote (Yoeli 2:12)

Sala inayotumika wakati wa kupakwa majivu ni “wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi” (Mwanzo 3:19),maneno haya waliambiwa Adam na Eva baada ya kumwasi Mungu,ilikuwa ni adhabu ya kutomtii Mungu na kifo ndio kilichokuwa adhabu kwa dhambi waliyoifanya wazazi wetu wa kwanza.
Kumbe siku hii ya majivu ni siku ya kutukumbusha kuwa ipo siku tutakufa na lazima tujiweke tayari kwa kila wakati.

Ndimi
DidasTumaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Google inakuharibu akili we mfuasi wa helena mweupe
jumatano ya majivu asili yake ni imani za kale za kipagani, iliingizwa katika taratibu za kanisa katoliki mwaka 325 AD, hii ni moja ha mapokeo mengi ya kanisa la roma ambayo hayana uhusiano wowote na kanisa la kwanza wala hayapo kwenye bibilia kama muongozo wa imani ya kikristo, Kanisa katoliki linatumia muongozo tofauti kabisa na bibilia ndo maana huwa nasema kanisa katoliki sio imani ya kikristo japo wanadanganya kwa kuweka katika nyumba zao za ibada picha na masanamu ya mtu wanaedai ni kristo ambae kiuhalisia sie kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu gani katika Biblia wameandika mpakane majivu tena kwakuchorwa msalaba usoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mmemezwa na dini hadi mnasahau kutumia akili zenu binafsi...

Hivi kutokuvaa magunia na kupakwa majivu kichwa kizima kinaathiri vipi toba yangu au mnataka kuigeuza imani ya Kikristu kama masharti ya waganga...

Mbona Yesu sehemu kibao aliipinga EXTRIMISM na kuonesha jinsi gani TORATI ilipaswa kutimilika... Lakini ndugu yangu unakuwa kama wale ambao zama za kristo wasingeweza hata kuwaponya wagonjwa ili tu KUITUKUZA SABATO...

Anza na matendo mema, toa sadaka na bila ya kuisahau sala.. Hayo mengine hayatokuhesabia haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu Wakristo mnaojua vizuri mambo haya tunaomba mjitokeze kutupa elimu sisi wengine tusiojua lolote .

Lengo langu ni kutaka kufahamishwa ili mimi na mbumbumbu wenzangu kwenye eneo hili tuweze kupata knowledge , sina lengo lingine.

Tumsifu Yesu Kristo

Back
Top Bottom