Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nashàuri wote tunaotumia ving'amuzi vya hawa wapumbavu startimes tuvitumie kwa local channel tu, lakini ni bora kujibana kununuwa dstv tu. Kwa sasa kulipia king'amuzi cha stattimes ni sawa na uwendawazimu.Hili ndiyo anguko la Startimes? Chanel za fox,tv1,cloudtv,national geographic wild,n.k zote mmefuta. Maana ya nini? Kama si ndiyo hatima yenu?
Wengi Sana Wanatumia Local ChannelsMimi nashàuri wote tunaotumia ving'amuzi vya hawa wapumbavu startimes tuvitumie kwa local channel tu, lakini ni bora kujibana kununuwa dstv tu. Kwa sasa kulipia king'amuzi cha stattimes ni sawa na uwendawazimu.
Watanzania ifike wakati tuamke na tusikubali kudharauliwa.
Boycott Startimes now.
Umefanya uamuzi wa busara sana, hata Mimi Niko mbioni kununuwa dstv, hawa startimes kitabaki kuwa king'amuzi kwa ajili ya free local channel tu, siwezi kurecharge tena airtime over my dead body.Hivi startimes kwanini mmekuwa mnaondoa baadhi ya chanels bila hata kuwataarifu wateja wenu? Kwakweli mnaharibu soko lenu sana. Net Geo wild, mmeondoa Emanuel tv hakuna sauti nk. Hivi mnajua kuna watu tunalipia king'amuzi ili kuona hizo chanel tu ? halafu analipa anangalia leo kesho mmeshaondoa!! kwakweli hili linaboa sana.
Binafsi mimi nimeamua kubaki na local chanels tu nimehamia Dstv kabisa. Huu uzalendo umenishinda. madakimasanja@yahoo.com
Hivi kwa nini mvua ikinyesha kwa wingi Sisi wenye decorder za dishi ghafra matangazo ukatika nini ttzo au dish alipo Sawa?Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Mie cha kwangu hata Local channels hakisomi soon pesa ikikata!Mimi nashàuri wote tunaotumia ving'amuzi vya hawa wapumbavu startimes tuvitumie kwa local channel tu, lakini ni bora kujibana kununuwa dstv tu. Kwa sasa kulipia king'amuzi cha stattimes ni sawa na uwendawazimu.
Watanzania ifike wakati tuamke na tusikubali kudharauliwa.
Boycott Startimes now.
Kwanini Local Hazisomi Wakati Ni BureMie cha kwangu hata Local channels hakisomi soon pesa ikikata!
Nishatupaga ving'amuzi viwili Kwa upuuzi wa namna hii
Guess what is next!!!!
Najua basi!Kwanini Local Hazisomi Wakati Ni Bure
SawaMuwe mnaelewa baadhi ya maneno non refundable